Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,227
una sound kama mnyarwanda vile!
Mkuu mimi ni mbongo damu dumu sina damu hata harufu ya kule, lakini at least umesema mnyarwanda, i hate people who say wahutu na watusi. Huu ni ushenzi ule ule ambao tunaupinga, ukiona watu wanaanza kuleta element ya uhutu na utusi jua hao ni wauaji tu, bila kujali wako wapi. I do not believe that Kagame is a representative of an ethnic group. He is a president of a country, na si kweli kuwa kila aliye kwenye serikali yake anakubaliana naye, leave alone wanyarwanda wengine.
Yeye amesema anasubiri right time atatupiga, so we will wait for that, but when we respond we will be responding to him, na si watusi. Mayanki wengi sana wa RPF ni washikaji walikuwa pale Shycom, na wengine wengi tu walikuwa mademu wetu, sidhani kama tunaweza kuwaweka wote kwenye kundi la Kagame. That is my point. We can not victimize the whole group, just because of the words, actions and thoughts of one man. Kagame will go banyarwanda will always be there, and whether we like it or not, they are our neighbors.