Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.

hii akili unayotumia sio yako mkuu! Nahisi ni ya bosi wako nape! Plz mkuu changanya na ya kwako huenda ukatoa mchango wenye manufaa! Ni hayo tu,
 
Last edited by a moderator:
Mtu yeyote yule akivurugae chama for personal glory should be fired regardless of the status, vyama vingi Tanzania vimeshindwa kukick off kwa kuangalia uso wa mtu, siku zote ukitaka kumuua nyani usimtazame usoni, ni busara kuepukana na mwanachama yeyote aendae kinyume na matakwa ambayo ni constructive kwa chama chake.
 

Hivi kama ukweli ndani ya walichokisema hao viongozi kuwa ndani ya CDM kuna ukabila, udini na ukanda unafikiri kuwafukuza itakuwa ni tiba? kwa nini tiba isiwe kuacha ukabila, udini na ukanda na siyo kuwafukuza hao viongozi?
 
Nasubiri tamko la kufukuzwa hawa wasaliti hasa Zitto,huyu akivuliwa uanachama nina uhakika heshima ya chama itarudi.Kuna kila ushahidi huyu ni gamba,na Ben aliweka mpaka ushahidi,nadhani katika viongozi wa ngazi za juu huyu ndo msaliti mkuu na anayepanda fitna,majungu,na kuchafua viongozi,akifukuzwa madiwani hawa wanaotusaliti hawatakuwa na nguvu.


Sintapigia kura tena CHADEMA 2015 kama ZITTO atakwepo !
 


Good riddance. Go away.
 
suluhisho sio fukuzafukuza...mkuu na hata usipo piga kura wewe tupo tutaoendelea kupigia kura CHADEMA kaa pembeni...kwanza tumechoka siasa za kila siku zitto...ashafahamika...hang'ati tena...
 
wewe unaonekana hata ukigombana na mmeo/mkeo suruhisho ni kutarikiana ni mawazo mgando kufukuzana ni hatua ya mwisho..
 
Huyu Zitto asipofukuzwa najua viongozu wa juu nao wanasababu za kuogopa mambo yao kufichuka
 
Hawawezi kumfukuza coz mamluki ndio wanaoleta shida ww rudisha kadi tu tuachie CDM yetu kavae yanga kaka!
 
Unadhani CDM watafanya kazi kwa shinikizo la kila mtu? Je wewe ni nani kutaka watu wafukuzwe kwa sababu unazozijua wewe? Je uliwahi kufikiria kuanzisha chama chako cha Nyama Ugali na Maharagwe? Kwanini usianzishe chama chako? Je huwa unasoma soma habari hata sheria za uanzishaji na uendeshaji vyama vya siasa? Je umetumwa au umejituma? Je mawazo yako ni msaada au hasara kwa chama? Uliwahi kuwa mwanachama wa magamba hayo unayowasakizia wenzio? Think more.
 
wewe unaonekana hata ukigombana na mmeo/mkeo suruhisho ni kutarikiana ni mawazo mgando kufukuzana ni hatua ya mwisho..

Kwahiyo we umeona mkeo anamgawia mwingine na anacheat halafu kutoa talaka huwezi?
 
Hawawezi kumfukuza coz mamluki ndio wanaoleta shida ww rudisha kadi tu tuachie CDM yetu kavae yanga kaka!

Kwahiyo kama kuna ushahidi anamtumikia mwingine kwanini uendelee kuwa naye?
 
suluhisho sio fukuzafukuza...mkuu na hata usipo piga kura wewe tupo tutaoendelea kupigia kura CHADEMA kaa pembeni...kwanza tumechoka siasa za kila siku zitto...ashafahamika...hang'ati tena...

Kwahiyo upo tayari chama kuishi na mamluki?
 
Kwanini wasiweze kumfukuZa?

Wamfukuze kwa kipi??maneno ya kusikia sikia kwa watu wanafiki walio dandia treni kwa mbele??haiwezekani kaka sio ki hivyo ww unafikiri kati ya Shibuda na Zitto nani hafai??unaweza jibu hilo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…