Shortlisted - Nelson Mandela , Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shortlisted - Nelson Mandela , Arusha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NGOSWE.120, Feb 3, 2012.

 1. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Wakuu wana Jf,

  Am so sorry kwa hili niulizalo kama utakwazika but plse naomba kufahamishwa ili niweze kujua kuwa hiki chuo tayari wameshatoa majina ya watu (shortlisted ) au bado?

  Ikumbukwe kuwa walitangaza nafasi nyingi za kazi na deadline yao ilikuwa tarehe ni 31 Dec, 2011. Hadi sasa ni mwezi mzima umepita lakini naona kimya..... so am a bit afraid with uchakachuaji katika kutoa hizo ajira kama ilivyo desturi ya taasisi nyingi za kielimu Mfano: UDSM, UDOM, MZUMBE, ..........! n.k

  Kwa mtu anayejua nini kinachoendelea basi naomba anisaidie ili nijue hilo, even by pm it is ok!

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu hata mim i nashangaa naona kimya kweli had nahis kuna kitu kinaendelea chini ya kapet.Tafadhal wajaamen mkipata taarifa mtuwekeen hapa manake wengi tunategemea kupata taarifa hapa.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sirikali haina pesa, mngojea cha nduguye ...
   
 4. R

  RISCA Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kile chuo hakitegemei hela kutoka serikal ya Jk
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Watakuwa weshaajiri tayari. Juzi nimeona mabasi yao mapya mtaani yanachukua wafanyakazi!
  Umesahau ile maneno..."If you dont get any responce from us consider yourself not shortlisted"?
  By the way, fuatilia in person!
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  sidhani kama ni kweli, kuna ndugu yangu alinionesha tangazo lao watu wanalipwa kwa scales za kisirikali.
   
 7. hirorobert

  hirorobert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bwana ngoswe ,nimeona si vibaya nkakusaidia maana naona JF watu wanachangia tu kama FB na haswa pale ambapo mtu kama ww unapokuwa unaulizia suala la msingi la maisha yako,kama mfanyakazi pale NM-AIST-ARUSHA napenda nkueleze tu kuwa hayo majina ndo yapo kwenye hatua za mwisho za "screening" maana chuo huwa kinafanya kitu kinachoitwa "circularizations and vetting" yani confirmations kwa third parties kule ulikosema umesoma na umefanya kazi na mengineyo,ni zoezi gumu maana sa nyingine people are reluctant to show a positive confirmations ila usiwe na wasiwasi ,chuo hiki ni miongoni mwa vyuo ambavyo havina 'memo' ni competence na experience yako itakayokusaidia ,nyc time
   
 8. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Mkuu asante sana kwa maelezo yako. Kiukweli nimefarijika sana na maelezo yako. naona yanipasa niwe na subira ili hatimaye nione nini kitajiri huko. By the way nipo tayari kupokea matokeo ya aina yeyote but still I have a confidence with regards to my application kama kutakuwa hakuna 'memo style' as you said mkuu. Once again, asante sana kiongozi kwa maelezo mazuri.
   
 9. hirorobert

  hirorobert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kind regards
  bwana Ngoswe ukibahatika kuwa short listed nadhani tuwasiliane
  Karibu NM-AIST-ARUSHA
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  nakubaliana nawe mkuu, unajua watu wako desperate sana na wengi wetu hatujui ilivyo vigumu kufanya screening. Imagine umetangaza nafasi saba, kwa job hunt ya sasa hivi ninahakika lazima utapata application zaidi ya pengine hata elfu nne zisizo na vimemo na si ajabu ukaletea zenye vimemo nyingi tu. kushortlist ni shughuli pevu.
   
 11. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tunahitaji majibu kama haya, mtu ukiwa huna detail tafadhali kula bati kuliko kutoa majibu ta kukatishana tamaaa,
  hongera sana mr/mrs/miss hirorobert, big up, mchakato ukikamilika sio mbaya ukatujuza tukajua if it is black or white.
   
 12. Kisaka80

  Kisaka80 Senior Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu tunakushukuru kwa good news! kwa kuwa upo huko jikoni, usisahau kutufahamisha tena nini kimejiri huko! wahanga wa ajira tupo wengi, bado tunachapa lapa huku mtaani.
   
Loading...