Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,944
š¤£š¤£š¤£ hivi kisungura kikoje?Mzinga wote wa nini piga kisungura hiyo haina kuangukia mgongo unapigiza usošunakua na sigda flan
š¤£š¤£š¤£ hivi kisungura kikoje?Mzinga wote wa nini piga kisungura hiyo haina kuangukia mgongo unapigiza usošunakua na sigda flan
Dah nyie watoto wa ushuani bn! Inauzwa buku 2 sema hata buku wanakupimia oyaaa kama unawahi sehemu gonga kidogo ššHaina kuyumba yumba inakuongezea speed ya kukimbia mbeleš¤£š¤£š¤£ hivi kisungura kikoje?
š¤£š¤£š¤£ huyo anazingua toka jana mimi nilikuwa namchora tu.Sio kataka, ni haijui kwelii huyoo.
Unadhani hata yuko Msata? Yuko Ghettoni kwake akishiba chips zege na Pepsi, anaota yuko ndani ya kombati.
khaaaaah
ššš ndio zile wakinywa wanavimba mwili mzima? Pombe za bei chee nyingi majangaDah nyie watoto wa ushuani bn! Inauzwa buku 2 sema hata buku wanakupimia oyaaa kama unawahi sehemu gonga kidogo ššHaina kuyumba yumba inakuongezea speed ya kukimbia mbele
La kujifunza limejaa funza kwerikweri na kasema anafundishaShort story nimesoma na kuimaliza nikiwa na dicloper hapa. Na hapa "majuorner yaan wadogo wale ndio sinior" ndio pameniongezea Maumivu. Well Short Story nzuri Kuna lakujifunza kama ulivyosema.š„
Apana aisee mi pombe mpaka niwe na mzuka nayo sana lkn hv hv sigusi hata mwaka mzima ila Kuna mda kiu flan hv inakujagaššš ndio zile wakinywa wanavimba mwili mzima? Pombe za bei chee nyingi majanga
š¤£š¤£ Huyu hata kama akiwa sinior akipewa seksheni mnapigwa kama kukuš¤£š¤£La kujifunza limejaa funza kwerikweri na kasema anafundisha
atakua anafundisha ufaiza foxy huko shuleni ndugu yetu Mwachi
Alikuwa anawatetea policcm kwenye ishu ya maslahi, atakuwa yuko huko.Wewe upo jeshi lipi? Ulipita vipi?
Basi jeshi siku hizi limechoka km watu aina yako nao wamejiunga nalo.. š¹š¹
Mdogo wako ana vituko sana!!
Kwanza yeye hivyo alivyo ataliweza jeshi?
Hiyo mujibu tu miezi 3 asingefika wangezika huko huko makamanda
Mimi kwakweli na mambo ya jeshi kukomaa sura na nyuchi hapana, nilikataa..!





anatafuta umaarufu kwa nguvu mdogo angu,huyo anazingua toka jana mimi nilikuwa namchora tu.
Mara yuko kambini sasa sijui kambi ipi inaruhusu kuruta kutumia simu![]()





anadhanii huko kambini watu hatujaendaa.








Darasa la sabaKwa uzoefu wangu mdogo wa hizi habari jamaa Kwa sasa ni soldier kwenye kikosi flani Cha bakabaka na si mwalimu ila shida ni Moja ana ilmu ndogo ya D 2
Ahhahššš usinitafute maneno bro winga.!
Huyo Mwachi itakuwa yupo kwenye mafunzo ya mgambo anamix na jeshiā¦
Jeshini wangemrudisha siku ya kwanza pale pale getini š¹
92kj niijue mimiMtu hata haijui Ngere ngere, afu anasema yuko Msata anapiga jalambaa kupambania Kitengee.
C bora hata mie, miez 3 ya mujibu, nimetoka na kituu.
Mwachiii anachekeshaa hatariiii. Lol
![]()
Kijiwe kimepoaš¤£š¤£š¤£ Kanichekesha kweli eti haijui ngerengere, huyu kataka kuchangamsha kijiwe
Khaaa nimeshiba ugali dona bhna na togwsSio kataka, ni haijui kwelii huyoo.
Unadhani hata yuko Msata? Yuko Ghettoni kwake akishiba chips zege na Pepsi, anaota yuko ndani ya kombati.
khaaaaah
Mimi naemda nipo njian naenda msataMdogo wako ana vituko sana!!
Kwanza yeye hivyo alivyo ataliweza jeshi?
Hiyo mujibu tu miezi 3 asingefika wangezika huko huko makamanda š¤£š¤£š¤£
Mimi kwakweli na mambo ya jeshi kukomaa sura na nyuchi hapana, nilikataa..!
Bafo hatujapokonywa bhnaš¤£š¤£š¤£ huyo anazingua toka jana mimi nilikuwa namchora tu.
Mara yuko kambini sasa sijui kambi ipi inaruhusu kuruta kutumia simu š¹š¹š¹
Ukisikia hizi kauli jua huyu ni wewe.Mdogo wako ana vituko sana!!
Kwanza yeye hivyo alivyo ataliweza jeshi?
Hiyo mujibu tu miezi 3 asingefika wangezika huko huko makamanda š¤£š¤£š¤£
Mimi kwakweli na mambo ya jeshi kukomaa sura na nyuchi hapana, nilikataa..!