Short course gani inaweza kumsaidia mtu ajira

ufundi wa magar na umeme wa magar una short course ya muda gan na ada yake ikoje
Cha muhimu ni yeye kupata ujuzi,uwe damuni na si cheti anaweza kutumia mwaka mmoja au mmoja na nusu kukamilisha vyote.Garama inategemea chuo na chuo,nadhani ukiwekeza 2M inaweza kumsaidia.
 
Hapana mkuu,kazi za plumbing ziko nyingi sana mtaani.
Hata juzi Kuna vijana walikuja nyumbani kwangu kuniunganishia mabomba,hao vijana haipiti wiki bila kuitiwa kazi mahali.
Kama kwa kujiajiri sawa...ila kuajiriwa kuna changamoto
 
Hawezi kusomea vitu vyote hivyo kwa pamoja na aelewe.
Vinginevyo itamchukua miaka 9 kumaliza hizo kozi zote.
Ni kweli mkuu...ila akiamua kujitoa muhanga anaweza kutumia muda mchache;fani za ufundi zinahitaji utundu sana hasa kwa yule anayetafuta ujuzi zaidi
 
Kama kwa kujiajiri sawa...ila kuajiriwa kuna changamoto
Hata kuajiriwa pia inawezekana kutokana na anavyojiongeza,plumbing ni pana sana na inajumuisha baadhi ya kazi zifuatazo.
1.Kufunga mabomba/masink kwenye majumba na kuunganisha System za chooni.
2.Kuunganisha mabomba ya maji Kama ya dawasco.
3.Kusafisha visima vya maji na kusambaza maji.
4.Kutengeneza systems za swimming pools
5.Pipe fittings-hii ndio inatumika sana viwandani na anaweza kufanya kazi Kama fitter mechanics pia.
 
Kuajiriwa kuna changamoto uitaji ni mdogo ukilinganisha na idadi ya watu,kwa kujiajiri sawa ingawa kazi zao mtu yeyote hata fundi ujenzi anaweza kufanya
 
Sometimes kuajiriwa sio dili mkuu inategemea umeajiriwa sehem gani?
Kuajiriwa kwa muhindi kwa mshahara wa laki 3 ni afadhali kufanya kazi za mtaani ukipata tenda moja ya milioni 2 hata ukikaa miezi 3 bila kupata tenda nyingine unaishi vzr tu kuliko ajira za unyonyaji.
 
Ni kweli mkuu,ila ugumu unakuja kwenye kupata hizo tenda....lasivyo inabidi kuwa mpambanaji kweli kweli;ni bora ajikite kwenye uzibuaji wa majitaka kwa sababu ni field isiyopendwa na wengi
 
ujasiliamali
iwe ni kwenye kilimo,
iwe ufugaji n.k
 
Back
Top Bottom