Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,097
- 62,048
Cha muhimu ni yeye kupata ujuzi,uwe damuni na si cheti anaweza kutumia mwaka mmoja au mmoja na nusu kukamilisha vyote.Garama inategemea chuo na chuo,nadhani ukiwekeza 2M inaweza kumsaidia.ufundi wa magar na umeme wa magar una short course ya muda gan na ada yake ikoje