Shop until you drop

Niliingia kule siku moja nikabaki mdomo wazi. Akina mama kibao wanajitangaza wengine wanaweka mpaka picha halafu hawafichi kama wameolewa.

halafu bubu ujue unanichekesha saana?
eti niliinigia siku moja nikabaki mdomo wazi..lol
isije kuwa wewe kwenye huo mtandao ni premium member kama hapa jf...lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ila seriously...ukijifanya we baller utafilisika manake totoz kibao zimekaa kimaslahi. Mara ooh Ngabu nimeziona UGG boots nzuri hizo...nataka uninunulie zawadi ya Krismasi....mara huyu sijui kaona gift set ya Gucci naye anaitaka....mwingine anakutumia text message anakwambia Spa Sydell wana holiday spa treatment winter sale anataka aende...hehehehee sasa hapo we jifanye unazo uone maumivu yake

You can't blame a girl, Ugg boots are comfy and if there is an easy check somewhere, why not? :]
 
halafu bubu ujue unanichekesha saana?
eti niliinigia siku moja nikabaki mdomo wazi..lol
isije kuwa wewe kwenye huo mtandao ni premium member kama hapa jf...lol

Hapana banaaa BOSS haya mambo mengine ni kuangalia pembeni tu unaweza kuchonga mzinga ukinogewa :):)...Unajua mtandao umerahisisha sana mambo kama haya kabla ya kuwepo mtandao mke wa mtu hata wazo la kujitangaza kwamba anataka mwanaume wa kunanihii naye tu halikuwepo lakini siku hizi mitandao kama AM ipo mingi sana tena kila jiji/mji.
 
nafikiri inakuwa ghali zaidi kama totoz ni nyingi pia lol

Kama yule njemba mmoja hapa jamvini aliyedai ana totoz nne na zote anazipenda, hapo tayari tunazungumzia $600. Na hapo hujaweka vitu vingine chungu nzima.
 
Hehehe lol! Scratch my back.....

Eee haipendezi mtu kukaa na wewe wiki nzima ya likizo, kisha ukashindwa hata na kijizawadi kidogo....

Hamkufundishwa tabia njema nyie kwani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Eee haipendezi mtu kukaa na wewe wiki nzima ya likizo, kisha ukashindwa hata na kijizawadi kidogo....

Hamkufundishwa tabia njema nyie kwani?
Zawadi muhimu G...nakuunga mkono na mguu :):) :majani7: :majani7:kwenye hili hasa ukitilia maanani wiki nzima njemba inajidai tu.
 
Waeleze wenzio waache ubaghili.

Zawadi muhimu tena iwe nicely wrapped :]

G kupeana zawadi nyakati mbali mbali katika mwaka ni namna mojawapo ya kuonyesha penzi, ukiwa na mkono mfupi mlimbwende anaweza kuingia mitini ukabaki unajilaumu.

Last edited by a moderator:
G kupeana zawadi nyakati mbali mbali katika mwaka ni namna mojawapo ya kuonyesha penzi, ukiwa na mkono mfupi mlimbwende anaweza kuingia mitini ukabaki unajilaumu.

Suala moja ambalo wanaume wengi hawalijui. Mwanamke hatai "sensible" zawadi....wanataka "sentimental" zaidi

Mtu anakununulia lens mpya ya kamera ati zawadi!!! Agggggr
 
Suala moja ambalo wanaume wengi hawalijui. Mwanamke hatai "sensible" zawadi....wanataka "sentimental" zaidi

Mtu anakununulia lens mpya ya kamera ati zawadi!!! Agggggr

Mhhh! G! Sentimental presents eeh! Inabidi uweke darasa la hali ya juu hapa jamvini ili Wanaume tujue ni zawadi gani wenzetu mnazozipenda badala ya watu kukurupuka na kununua vitu ambavyo haviwagusi kihivyo.

Red+dress.preview.jpg

58VIOL06.jpg
 
Labda anazungumzia zawadi kama bracelet iliyo engraved na maneno matamu kama 'I lo u so and so'

Halafu Bubu hiyo gauni mbona imekaa kama ya prom....lol
 
Kuna watu wanakuwa wagonjwa kwenye haya mambo ya shopping mpaka wanatafuta ushauri wa wataalam wawasaidie kuacha hii tabia, ndo hao wanao wapuliia wnzao pipili machoni ili wapae wao.

Shopping inaweza kuwa addiction. Nadhani hao addicts ndo unaowasema wewe.
 
Back
Top Bottom