Shop until you drop

Labda anazungumzia zawadi kama bracelet iliyo engraved na maneno matamu kama 'I lo u so and so'

Halafu Bubu hiyo gauni mbona imekaa kama ya prom....lol

Ndio maana nikauliza maana haya mambo magumu banaaaa unaweza kujitutumua ukanunua zawadi halafu reaction yake ikawa tofauti na ulivyotegemea lol!

4115.jpg

 
BAK

Suala la zawadi ni tete, lakini kwa independent woman, zawadi ni vile 'vitu vya kipuuzi' ambavyo vinaonyesha hisia zaidi.

Silazima iwe engraved na maneno ya mapenzi, lakini a calendar with pics of two of you together vacationing is much appreciated than a camera.

A silk scarf is much more appreciated than that red gown for example.

Giving a girl a check for a present is a big NO
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom