Shop until you drop

hata mimi nilifikiri atakuwa na collection ya hatari iko ready
ni suala la ku choose na ku call....lol

Sikiliza Boss....wajanja huwa tunakwepa totoz mida kama hii ya holiday shopping season...la sivyo utajikuta una file for bankruptcy bure....ooohooooo....usifanye mchezo bana.

Mwenzio Mwanakijiji ali max out hadi Blockbuster card yake....lol
 
Hivi unajua nimekuwa off kwenye boksi tokea lini? Inafikia mahali unachoka kujichimbia inabidi ukasuuze macho na eye candy ili upate mzuka zaidi

unaweza kusema in US AND EUROPE the best place to meet totoz ni malls????
 
Kama unapenda diversity basi hands down US haina mpinzani labda Brasil ndo inakaribia kidogo. Best place ni Walmart, Target, Publix, Kroger, malls, gym, na clubs (ila mi si mpenzi wa clubbing)
 
ndo maana kuoa inakuwa ngumu huko?lol
kuna too many 'free milk' to choose every weekend..
 
Sikiliza Boss....wajanja huwa tunakwepa totoz mida kama hii ya holiday shopping season...la sivyo utajikuta una file for bankruptcy bure....ooohooooo....usifanye mchezo bana.

Mwenzio Mwanakijiji ali max out hadi Blockbuster card yake....lol

Ilibidi turkey achangiwe! Lol
 
Waliooa na ambao hawajaoa hakuna tofauti. Sasa kwa nini uoe? Au umeusahau ule mtandao wa Ashley Madison? Ule mtandao una mamilioni ya wanachama.

Na JF ina takribani wanachama wangapi?
 
Niliingia kule siku moja nikabaki mdomo wazi. Akina mama kibao wanajitangaza wengine wanaweka mpaka picha halafu hawafichi kama wameolewa.
 
kwani from your experience
jf na Asshleymadison kuna kufanana??????lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ilibidi turkey achangiwe! Lol

Heheheee.....hilo dongo sasa.

Ila seriously...ukijifanya we baller utafilisika manake totoz kibao zimekaa kimaslahi. Mara ooh Ngabu nimeziona UGG boots nzuri hizo...nataka uninunulie zawadi ya Krismasi....mara huyu sijui kaona gift set ya Gucci naye anaitaka....mwingine anakutumia text message anakwambia Spa Sydell wana holiday spa treatment winter sale anataka aende...hehehehee sasa hapo we jifanye unazo uone maumivu yake
 
kwani from your experience
jf na Asshleymadison kuna kufanana??????lol

Hapana ila JF inaweza ikawa na elements kama za AM. Sitashangaa kama hapa kuna watu ambao wamekutania hapa na wameanza affairs. AM yenyewe ipo mahsusi kwa ajili ya affairs. Hakuna siasa wala sijui habari mchanganyiko kule. Ni strictly love/marital affairs tu.
 
Sikiliza Boss....wajanja huwa tunakwepa totoz mida kama hii ya holiday shopping season...la sivyo utajikuta una file for bankruptcy bure....ooohooooo....usifanye mchezo bana.

Mwenzio Mwanakijiji ali max out hadi Blockbuster card yake....lol

....Mjini raha lakini inabidi uwe muangalifu pia vinginevyo utaumbuka

Niliingia kule siku moja nikabaki mdomo wazi. Akina mama kibao wanajitangaza wengine wanaweka mpaka picha halafu hawafichi kama wameolewa.

Yaani we acha tu. Na hapo ndo ujue sasa na wanawake wanacheat sana, tena sana tu. Mimi kuna profiles nyingi sana nimezisoma za wanawake walioolewa wanaosema wanataka affair lakini hawataki kubadilisha hali zao ya kindoa. Ni kwamba wamechoka tu na routine na wana hama na kitu/vitu tofauti. Sasa hapo ni za kwako changanya na za wengine.......lol
 
Back
Top Bottom