Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Isaac Mnyagi

Senior Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
124
Reaction score
136
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.

Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA

NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.

Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.

NA KWA TAARIFA TU KWA WENGINE NI KWAMBA MIKOA YA KUSINI HAINA DESTURI ZA USALITI TOKA HISTORIA ZA KALE KAMA KINA MKWAWA, KINJEKITILE NK. WAKUSINI WOTE WALIO WASALITI NI WAGANGA NJAA TU NA WATAISHIA PABAYA :nono::wave:
 
Kuliko huyo dada Shonza ni bora huyu aliyejitolea muhanga kule iringa ile siku alipouawa Daudi Mwangosi
Huyu dada alionyesha ujasiri wa hali ya juu.

vlcsnap-2013-01-17-13h36m20s250.png
 
sasa wewe unasema wala hata si mwana chadema licha ya kwamba wewe si kiongozi wa wanachadema wa mbeya lakini unawasemea wana chadema wa mbeya.sasa wewe unawasemea kama mwananchi mwenye usongo au?
 
Nasema kama mtanzania anayependa mabadiliko na nisiyefagilia mambo ya ukanda, ukabila na udini na yeye kama ana matatizo yake ajibu tuhuma na siyo kuunganisha dot za kikabila na kikanda.
 
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.

Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA

NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.

Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.

Mi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.
 
Mkuu mpe huyo mtoto vidonge vyake ameze ateme shauri yake, amaisha bainika tangu mwanzo yeye ni mamluki wa watu fulani wasioitakia maendeleo nchi yetu ya TZ, ndaga fijo na loli!!!
 
sasa wewe unasema wala hata si mwana chadema licha ya kwamba wewe si kiongozi wa wanachadema wa mbeya lakini unawasemea wana chadema wa mbeya.sasa wewe unawasemea kama mwananchi mwenye usongo au?

Halafu Lumumba wanakulipa tena kwa kodi zetu kwa kazi hii??
 
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.

Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA

NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.

Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.
Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.

Wana Mbeya hatujulikani kwa unafiki.

Mwampashi umedandia treni ya TAZARA kwa mbele.
 
Nasikitika kua zile tuhuma zake za kutumwa ndio zilizompeleka kaburini kisiasa! Hivyo natangaza rasmi kuwa huu ndio wakati Wa mwisho kusikika!
Mimi nipo Mbeya, nawajua wanambeya wenzangu tunataka nini!
 
Mi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.

Mbona unakosa uelewa mkuu.
Hiyo ilikuwa kazi ya wahanga walioenguliwa RICHMOND na wanaogombea urais, na hata leo wapo kwa majina.
Kwa sakata la Mwangosi hata wana CHADEMA wanakiri "set up" ya CHADEMA alimoingia marehemu kichwa kichwa kwa bahati mbaya, the rest iitekelezwa na polisi.

Ni vyema tukajali ukweli ili kupata ufumbuzi makini.
 
Hahaha!Nimeipenda hii 'Kahaba wa demokrasia'!Huyu kweli ni kahaba wa demokrasia!Amewatukana viongozi wa Chadema kuanzia M/kiti(Mbowe),katibu ndugu Slaa na M/kiti bavicha Heche na still anajiita yeye bado kiongozi wa Bavicha?Akauze ugoro Lumumba!aache porojo zake za kinafki.
 
Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.

Wana Mbeya hatujulikani kwa unafiki.

Mwampashi umedandia treni ya TAZARA kwa mbele.

Acha mambo ya kishabiki katika kuchjangia hoja kuwa mchambuzi yakinifu kabla haujaongea jambo na ujue kutofautisha kati ya fact, opinion na emotion suala la mishahara hutolewa kulingana na majukumu ya mtu mbona hamhoji posho za wana ccm, na mishahara ya wakurugenzi mbalimbali mnag`ang`ania kwa dr. Slaa peke yake wengine wakila ni halali ila kwa Dr. Slaa ni dhambi!? hata wewe hapo unapofanya kazi kuna watu wa chini yako wanalipwa fedha kidogo na wanalalamika kuhusu wewe kwa hisia zao lakini ukweli na uhalisia uko wazi unapokea unachostahili HEBU TUACHE MAJUNGU NA UNAFIKI WA KISWAHILI.
 
Nasikitika kua zile tuhuma zake za kutumwa ndio zilizompeleka kaburini kisiasa! Hivyo natangaza rasmi kuwa huu ndio wakati Wa mwisho kusikika!
Mimi nipo Mbeya, nawajua wanambeya wenzangu tunataka nini!

Wasalipa baba
 
Isaac ; Mwakata huyo Shonza ni vigumu kumlea haleleki kumbuka hadithi yakuwa alichanjwa chale ma..ta.ko.ni eti hata aacha kuwa msaliti nilisema juzi Mnyiha gani anayejidharaulisha hivyo watu wa Mbeya hawajawahi kuwa watumwa huyu watamshangaa
 
Mbona unakosa uelewa mkuu.
Hiyo ilikuwa kazi ya wahanga walioenguliwa RICHMOND na wanaogombea urais, na hata leo wapo kwa majina.
Kwa sakata la Mwangosi hata wana CHADEMA wanakiri "set up" ya CHADEMA alimoingia marehemu kichwa kichwa kwa bahati mbaya, the rest iitekelezwa na polisi.

Ni vyema tukajali ukweli ili kupata ufumbuzi makini.
Great thinker wewe, kweli kazi ipo kweli kweli mwaka huu, tutaona mengi tusubiri!!!

Back
Top Bottom