Leo redio WAPO imeripoti kuwa idadi kubwa ya watu wamepoteza maisha siku chache baada ya kunywa kikombe cha babu. Hii ni kwa mujibu wa riporter kutoka Arusha. Wanaoongoza kwa kukumbwa na madhila hayo ni wagonjwa wa kisukari ambao walidhani wamepona na hivyo kuacha kutumia dawa za hospitali. Nawasilisha.
1Yoh 3:8 Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi
A smooth sea never made a skilled mariner.
-English proverb
Nani aliwaambia waache kutumia dawa?
Mbona Babu anasisitiza watu waendelee kufanya matibabu ya kawaida hadi WAKAPIME afya zao Hospital?
Hao basi WALIDHANI vibaya na imewa-cost. RIP wao na hiyo Radio WAPO.
babu wa loliondo anatibu kwa imani,full stop,
tiba yake ipo kiroho zaidi,siyo sayantifik hivyo tarajia majibu yasiyo fanana kwa kila aliyekunywa kikombe.
nawajua wanaosema kuwa wamepona baada ya kunywa kikombe,e.g kuna mmtu amerudisha heshima kubwa ktk ndoa yake baada ya kupata kikombe

kama ni wale waliofanya fujo wakajigawia dawa bila utaratibu, wapo waliovushwa foreni na askari wa ulinzi, wapo wengi mno waliokwenda kinyume na HAKI , babu aliwaambia wanajidanganya. Tumezoea kutoa rushwa ili tuwapiku wenzetu, kwa babu hiyo ni break wote watarudi ma-wardini na kwenye maduka ya dawa. HAKI HAKI MBELE KWA MBELE. Kwa Muumba sote haki sawa. Kama X kapanga foreni kwa nini cheo chako cha duniani kinakuzuia wewe kupanga foreni hata mbele ya aliyekuumba? NGOMA hiyoooooooooooo
Ukweli utajulikana soon!naomba afe kiongozi ili ushabiki uishe!
Kipindupindu ndugu yangu, punguza jazba. Kufa kwa kiongozi ni sawa na kufa mkulima hahehohe, wote mbele ya Mungu ni binadamu. Kufa kwa kiongozi hakutosaidia kupunguza imani za watu.Ukweli utajulikana soon!naomba afe kiongozi ili ushabiki uishe!
Ukweli utajulikana soon!naomba afe kiongozi ili ushabiki uishe!
Unapozungumzia neno kiroho zaidi it's about miracles ambapo huhitaji kwenda Loli peke yake; but unapokuja na notion ya kunywa kikombe thatz medicinal na hiyo ni herbalism kama Matunge and the likes except huyu wa Loli kaja na gia ya kuoteshwa na pia mtu ananyweshwa kikombe kimoja tu! Every proponent wa Loli should be scientific and be able to explain the anatomy behind babu's herbal vinginevyo subirini kuumbuka!babu wa loliondo anatibu kwa imani,full stop,
tiba yake ipo kiroho zaidi,siyo sayantifik hivyo tarajia majibu yasiyo fanana kwa kila aliyekunywa kikombe.
nawajua wanaosema kuwa wamepona baada ya kunywa kikombe,e.g kuna mmtu amerudisha heshima kubwa ktk ndoa yake baada ya kupata kikombe
Unataka kutoa ujumbe gani kwa waliofika kwa chopper na ma-vx v8?
Kweli wa-tz wengi wamefungwa ufahamu. Ni nguvu ya Mungu pekee inayoweza kuwafungua.
Nina ushahidi wa mgonjwa mmoja wa kisukari. Alipotoka kwa babu alikuwa anatamba kuwa KAPIGA KIKOMBE cha babu na aligonga soda mbalimbali njiani. Baada ya siku saba kapima kakuta sugar as usual.
Sasa tuamini nini kwa shuhuda hizi?