Mwanzoni ilianza kwa mbwembwe nyingi kwamba "yeyote atakaye fika kwa babu hatakufa." Remember?
Then ikaja "Wagonjwa mahututi wapewe priority." Picha nyingi tu zikaonyesha watu kwenye machela wakivushwa kwenye foleni
Kisha "Waliozidiwa wasiletwe Samunge." Baada ya vifo kuripotiwa
Mwishowe "Wagonjwa waje na dozi zao na wasiache kutumia hata baada ya kunywa kkombe." Why? Uhakika wa kutibu mashakani hapa. Taarifa wa watu kufariki hata baada ya kunywa kikombe.
Shuhuda za immediate healing ambazo zilichangia kwa kiasi kikubwa debe la babu zikafifia ghafla. Nguvu ya dawa ikapungua. Sasa watu wanatakiwa waendelee na dozi za hospitali walizozipuuza. Wale waliojigamba kuanza kula nyama hapohapo samunge baada ya kupona allergy, wale walio anza kushindilia dozi za soda na bia baada ya kuponywa kisukari , hawa wote hatuwasikii tena. Do you learn something here. Think critically, ushabiki kando.
Fool me once, shame on you. Fool me twice, shame on me ! Wise Quotes
Jesus is Lord