mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
![]()
Wenzetu Kenya huwa wanatucheka sana katika mambo ya maendeleo, lakini katika mambo ya ulinzi wako nyuma sana, tena sana.
Inabidi wafanye jitihada za ziada kujinoa katika mapambano na Al Shabab kunanzia Intelijensia hadi Rapid Response Tactics.
Kuwatumia wazee kama hapo juu wanaofikiria kujitetea kwa kuwaza nyumbani na wajukuu wao itakula kwao.
mimi mwenyewe ninashangaa, wanasema tumeua sita lkn kilichouawa hakionekani, pia mara kwanza walisema walimuua yule dada samatha lkn chaajabu sasa hivi watangaza tena kumsaka kwa hudi na uvumba popote aliko,.
my take wapunguze siasa
![]()
![]()
Wenzetu Kenya huwa wanatucheka sana katika mambo ya maendeleo, lakini katika mambo ya ulinzi wako nyuma sana, tena sana.
Inabidi wafanye jitihada za ziada kujinoa katika mapambano na Al Shabab kunanzia Intelijensia hadi Rapid Response Tactics.
Kuwatumia wazee kama hapo juu wanaofikiria kujitetea kwa kuwaza nyumbani na wajukuu wao itakula kwao.
sio siri kila napofungua uzi juu ya ishu ya alshabab lazima nicheke,,,,,ingawa kuna hoja kwa kila wazo![]()
Wenzetu Kenya huwa wanatucheka sana katika mambo ya maendeleo, lakini katika mambo ya ulinzi wako nyuma sana, tena sana.
Inabidi wafanye jitihada za ziada kujinoa katika mapambano na Al Shabab kunanzia Intelijensia hadi Rapid Response Tactics.
Kuwatumia wazee kama hapo juu wanaofikiria kujitetea kwa kuwaza nyumbani na wajukuu wao itakula kwao.
1. Hao wazee sio polisi wala jeshi ni walinzi wa kampuni binafsi waliokuwa wanalinda mabenki na biashara kadhaa hapo westgate. Lakini kama unataka kuona walinzi wazee zaidi njoo mitaa ya samora uone vibabu vinavyolinda na magobole na mgambo with nothing but rungus.
2. Nadhani sisi ndio tuko nyuma zaidi kwa sababu wao wameshtukizwa tu. sisi huku makanisa yamechomwa zaidi ya 20, mapadri wanapigwa risasi, wanamwagiwa tindikali, magazeti na radio (radio iman, al-nuur) zinaeneza ugaidi wazi wazi, masheikh wanapromoti ugaidi waziwazi (ponda, ilunga, basaleh...) lakini wala hatufanyi chochote!
nifafanulie,je hawa ndio walomuua mwangosi?,ndo walomuumiza Kibanda na Dr Uli?,ndio walotupa Bom Arusha???,maana vitendo vyote hivi ni vya kigaidi kwa mtazamo wako1. Hao wazee sio polisi wala jeshi ni walinzi wa kampuni binafsi waliokuwa wanalinda mabenki na biashara kadhaa hapo westgate. Lakini kama unataka kuona walinzi wazee zaidi njoo mitaa ya samora uone vibabu vinavyolinda na magobole na mgambo with nothing but rungus.
2. Nadhani sisi ndio tuko nyuma zaidi kwa sababu wao wameshtukizwa tu. sisi huku makanisa yamechomwa zaidi ya 20, mapadri wanapigwa risasi,wanamwagiwa tindikali, magazeti na radio (radio iman, al-nuur) zinaeneza ugaidi wazi wazi, masheikh wanapromoti ugaidi waziwazi (ponda, ilunga, basaleh...) lakini wala hatufanyi chochote!
Hapo kwenye bold acha uongo, walizi wa magetini hawapewi semi automatic machine guns(SMG) kama hao unao waona kwenye picha.1. Hao wazee sio polisi wala jeshi ni walinzi wa kampuni binafsi waliokuwa wanalinda mabenki na biashara kadhaa hapo westgate. Lakini kama unataka kuona walinzi wazee zaidi njoo mitaa ya samora uone vibabu vinavyolinda na magobole na mgambo with nothing but rungus.
2. Nadhani sisi ndio tuko nyuma zaidi kwa sababu wao wameshtukizwa tu. sisi huku makanisa yamechomwa zaidi ya 20, mapadri wanapigwa risasi, wanamwagiwa tindikali, magazeti na radio (radio iman, al-nuur) zinaeneza ugaidi wazi wazi, masheikh wanapromoti ugaidi waziwazi (ponda, ilunga, basaleh...) lakini wala hatufanyi chochote!
Kwa mapozi hayo, hata mtu ambaye si askari anaweza kuona kuwa hawa jamaa baado sana! Kama huyu wa mkono wa kulia ndo basi kabisa.![]()