Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,359
- 111,651
Erectile dysfunction ni uwezo wa kushndwa kusimamisha.
Huyu anasimamisha kupita kiasi,labda ni Hyperfunction,lol!
Cc watu8 Riwa ZeMarcopolo
Kusimamisha uume sio tatizo na halijawahi kuwa tatizo...
Lakini baadhi ya sababu za kusimamisha uume ndio huwenda zikawa ni tatizo...
Namna ulivyoielezea ED upo sahihi kabisa na mdau wa mwanzo alikosea pengine pasipo kujua...