and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,227
- 39,713
Aendelee nayo tu, lakini wateja watakuwa Samia na machawa wake tu. Full stop!Gen Z si watu wazuri aisee. Dada achana na hii biashara kabisa
Tuone hata kapicha akiwa ameachia machuchu pale jukwaani na tako likiwa wazi.. sijamsahau Zuwena Mwamedi kutoka IgungaWrong move Dada
Nayo hailipi kwasasaAendelee na kazi ya uchawa
Wamegoma kumuachia.!
Basi wamnyoshe kidogo...Wamegoma kumuachia.!
Vurugu za maandamano zishamnyosha vyakutosha jamani wampumzishe da shishiBasi wanyoshe kidogo...
Kufa kwa nyani miti yote huteleza.Nayo hailipi kwasasa
Kwa nn umenisahau na mm?Tuone hata kapicha akiwa ameachia machuchu pale jukwaani na tako likiwa wazi.. sijamsahau Zuwena Mwamedi kutoka Igunga
Wewe Kenge huo ushauri wape ukoo wako ili waondokane na umaskini. Kuhusu sumu utakamatwa wewe wa kwanza endapo itatokea imewekwa kwenye chakula. CHADEMA iwafunde wafuasi wake kuhusu siasa safi.Gen Z si watu wazuri aisee. Hawa watu wamejipanga kukukwamisha tena. Dada achana na hii biashara kabisa.
NB: baadhi ya wapishi wako ni Gen Z wasije wakaweka sumu kwenye Chakula wateja tukadhurika
Iwapo alikuwa tayari kuimba wimbo wa amani pasipo haki na watesi wa taifa hili awe tayari kukabiliana na matokeo ya matendo hayo.Aonewe huruma kwanini?Je aliweza kuwaonea huruma Watanzania wa kawaida au aliuuimba wimbo ambao hakuuelewa kwa kurubuniwa ama kwa kudharau mahitaji ya kizalendo na mahitaji ya Mtanzania wa kawaida?Dada anaipambania ridhki yake kwa njia halali, wewe kwakua una mamlaka ya kushika remote ya tv kwa shemeji Yako unaona umeyapatia maisha!!
Punguzeni zarau kwenye kazi za watu, kunasiku utaondoka apo kwa shemeji Yako panapokupa kiburi.
Wewe Kenge huo ushauri wape ukoo wako ili waondokane na umaskini. Kuhusu sumu utakamatwa wewe wa kwanza endapo itatokea imewekwa kwenye chakula. CHADEMA iwafunde wafuasi wake kuhusu siasa safi.
Aende akaishi na Samia!Aendelee na kazi ya uchawa