Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Dada huyu akivuta Shisha hadharani
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, jana amemaliza kazi. Amepiga marufuku matumizi ya ulevi aina ya Shisha nchini ambao umesambaa kwa vijana wengi pamoja na watu wazima.
Marufuku yake imekuja siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kupiga marufuku matumizi ya kilevi hicho pamoja na uvutaji wa sigara hadharani mkoani humo.
Soma zaidi hapa=> Shisha yapigwa marufuku Tanzania, hakuna kuvuta sigara hadharani Dar | Fikra Pevu