Shirika la nyumba NHC haliwezi kunijengea?

elia stephen

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
263
81
Habari za hapa wakuu,

Kuna swali linanitatiza. Kuhusu huu mradi wa NHC wa ujenzi wa nyumba wa bei nafuu.Ni kwamba mimi nina kiwanja changu je hawawezi kunijengea?Au mpaka nikanunue zile zile zao za kukaa kotaz?Mimi binafsi nazipenda hzo nyumba ila sipendi kukaa kota hivyo wahusika naombeni mnijibu.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom