imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,464
- Thread starter
- #81
Kwa hiyo Mnakiri kutaka kumuua TUNDU LISSU?!Msaliti lazima ashughukikiwe! Mke wako siku ukakuta anagongwa na jirani unamfukuzia mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Mnakiri kutaka kumuua TUNDU LISSU?!Msaliti lazima ashughukikiwe! Mke wako siku ukakuta anagongwa na jirani unamfukuzia mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnajifariji kwelikweli,! Mnaonaje lakini huu ubatizo wa moto anaowabatiza mzee baba John?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ulio wataja unaweza kuwalinganisha na makasuku wenu kina kibajaj?
In God we Trust
Kwa hiyo Mnakiri kutaka kumuua TUNDU LISSU?!
Naona ugali umekukwama kooniWewe binafsi unajilinganishaje na hao akina Tundu Lissu na huyo anayeitwa Zito Kabwe!!??
Hujajibu Swali langu Kwa hiyo mnakiri ninyi ndio mliomshambulia na kutaka kumuua TUNDU LISSU?!!Wewe unaonaje? Hebu tumia akili yako vizuri! Mkeo ukamkuta anasaliti ndoa unamfanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnachoombea kitokee kwa ATCL kamwe hakitakuja kutokea enyi msioipendea mema nchi hii kwa maslahi yenu ya kisiasa. Mlianza kuziponda bombadier ndege mbovu sijui terrible teens, baada ya kuona ma Boeing yanazidi kushuka sasa mnaombea shirika life. Nakuambieni mtakufanya nyinyi kisiasa pamoja na vyama vyenu, lakini shirika hili litaendelea kuwepo na kushamiri maana ni mpango wa mungu kwa watanzania.View attachment 1027133
Shirika lingine hili nalo limefifisika BMI budget airline limepaki.
Nasikia ATCL nalo linasukumwa na abiria sasa habari ndio hiyo.
Tundu Lissu, Zitto Kabwe walituonya tukawaona wachawi haya sasa!!
Soma: British airline Fybmi collapses, leaving passengers stranded na Flybmi collapses and grounds flights - what next and can you get a refund
Ndio maana nlikwambia katika hii mada yako wewe ni mpumbavuHujajibu Swali langu Kwa hiyo mnakiri ninyi ndio mliomshambulia na kutaka kumuua TUNDU LISSU?!!
kwani zile ndege ni mbovu au kichwa chako ndo kibovu kinashindwa kuelewa kitu kizima na kibovu.Kwasababu ndo waliomshauri rais anunue ndege mbovu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Achana na Mabeberu haoo...! Nchi haina shida kabisa... Kila kitu safiiiKwenye hii nchi ukishakuwa mpinzani kuna waya zinakatika kichwani.
Sasa kwa taarifa yenu hata mfanyeje ndege zitaendelea kuwepo na zitazidi kununuliwa kama vipi hameni nchi.