Shirika la Ndege, FlyBMI lafirisika!

Shirika la Ndege, FlyBMI lafirisika!

Na nyinyi hoja yenu nzuri ni kupinga pinga tuu kisa mbowe na lissu hawapendi kuona yale waliyotangaza jukwaani kufanya wao anafanya mwingine. Na kwakuwa rimoti wanayo wao basi kila mtu anabonyezewa kitufe chake.
Alaaaa kumbe kwa sasa serikali ya ccm inayafanya yale yaliyo ahidiwa kufanywa na cdm?hongereni sana kwa kutekeleza ilani za cdm

In God we Trust
 
Umeona mkuu naona saizi haishiwi vituko na mbwembe sioni kama tumepoteza chochote kwa huyu jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mara aweke vituko tupu hawezi andika hoja vifungu zaid ya 30 vyenye haya mbali mbali,

Yeye akiokota video anatupia, akiona kituko chochote anatupia na anakinasibisha na CCM,

Saa nyingine video anazoona leo tuna kuwa tumeziona tokea juzi yake
 
Hivi kondom na vyandarua kutoka serikali ya marekani vilivyo letwa kama msaada kwetu vilisha isha?
Mumeo yupo huko ugaibuni anawatafutia mabwana wa kimarekani,juzi kati si ulimsikia mwenyewe kwenye bbc hard talk alisema hataingia chumbani kwako kukufanyia fujo wewe na bwana wako ukifokonyolewa.hahahahaha lissu anawapendeni sana watu wake.

In God we Trust
 

Lissu alipotuonya tukaona dawa yake ni atupishe ili tuufikie uchumi wa Ndege.
 
Lissu alituonya tukawa wakali kama Nyegere.
 
Hutaki pita kimyakimya
Mada ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu!

Na kuonesha upumbavu wake zaidi ni hapo anapotaka kumaanisha kwamba kwakuwa ndoa ya jiranibyake imevunjika basi na yeye ya kwake itavunijka na pengine watu wasioe au kuolewa kabisa, kwa sababu kuna ndoa imevunjika huko!

Mods mnakazi sana kuwavumilia wapumbavu kama hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Hao ulio wataja unaweza kuwalinganisha na makasuku wenu kina kibajaj?
Kwa hiyo huyo Tundu Lissu na huyo anayeitwa Zitto Kabwe ndio pekee Tanzania wanaojua mema na mabaya ndani ya jamii?? What a shame!!!???

In God we Trust
 
Kwenye hii nchi ukishakuwa mpinzani kuna waya zinakatika kichwani.
Sasa kwa taarifa yenu hata mfanyeje ndege zitaendelea kuwepo na zitazidi kununuliwa kama vipi hameni nchi.
 
Inamaana ujuaji wote huu na kuwa nguli katika jamii forums bado unataka kupewa condom na vyandarua vya bure!!??.....unatia aibu kanunue ata zile condom za buku buku.
Hivi kondom na vyandarua kutoka serikali ya marekani vilivyo letwa kama msaada kwetu vilisha isha?

In God we Trust
 
Back
Top Bottom