yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,906
Hana sababuKwa nini CHADEMA ni adui wa Tanzania?
Hana sababuKwa nini CHADEMA ni adui wa Tanzania?
Chadema imeingiaje hapa?!
Chadema haijawai kuiombea mema tanzania, wao kazi yao kubwa nikuona project za tanzania aswa zilizowekwa na ccm zina fail ata kama zina umuhimi kwa bibi na babu zao vijijini ili tuu wapate political platform.Kwa nini CHADEMA ni adui wa Tanzania?
Chadema wanatamani hata nchi yetu ipigwe bomu la nyukilia wote tuangamie, wanajua kuponda tu, kusiliba na kutukukana
Ofisi yao pale ufipa ni chafu kama choo. No one bother, mwenyekiti anasaini ruzuku ya mamilioni kwa mwezi na misaada ya nje lakini hakuna anaeuliza. Akitokea shujaa anasema ukweli anaitwa msaliti.
Makamanda tuwaache kama walivyo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu!Chadema imeingiaje hapa?!
Tatizo abiria wamelikimbia shirika hebu fikiria unepiga Suti yako unaishia kushika Body...Oyaa!!...usijifanye afsaa!! Sukuma...Pilot anakufokea.
Sikushindi uzuzu.Huyo ni zuzu tu msamehe bure
In God we Trust
Mada ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu!
Na kuonesha upumbavu wake zaidi ni hapo anapotaka kumaanisha kwamba kwakuwa ndoa ya jiranibyake imevunjika basi na yeye ya kwake itavunijka na pengine watu wasioe au kuolewa kabisa, kwa sababu kuna ndoa imevunjika huko!
Mods mnakazi sana kuwavumilia wapumbavu kama hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1027133
Shirika lingine hili nalo limefifisika BMI budget airline limepaki.
Nasikia ATCL nalo linasukumwa na abiria sasa habari ndio hiyo.
Tundu Lissu,Zitto Kabwe walituonya tukawaona wachawi haya sasa!!
Sikushindi uzuzu.
Ngoja na wewe siku uambiwe Oyaa!!!...Sukuma mchuma huo..ndio utanielewaMada ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu!
Na kuonesha upumbavu wake zaidi ni hapo anapotaka kumaanisha kwamba kwakuwa ndoa ya jiranibyake imevunjika basi na yeye ya kwake itavunijka na pengine watu wasioe au kuolewa kabisa, kwa sababu kuna ndoa imevunjika huko!
Mods mnakazi sana kuwavumilia wapumbavu kama hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yaliyofilisika yapo sehemu yenye abiria wengi kiasi hicho je hapa kwetu ITAKUWAJE ??Mashirika ya ndege yanayofilisika yapo mengi sana, tena mengi yake yapo Ulaya na Marekani kwenye wasafiri wengi wanaotumia ndege.
Ngoja na wewe siku uambiwe Oyaa!!!...Sukuma mchuma huo..ndio utanielewa
Kama yaliyofilisika yapo sehemu yenye abiria wengi kiasi hicho je hapa kwetu ITAKUWAJE ??
Na nyinyi hoja yenu nzuri ni kupinga pinga tuu kisa mbowe na lissu hawapendi kuona yale waliyotangaza jukwaani kufanya wao anafanya mwingine. Na kwakuwa rimoti wanayo wao basi kila mtu anabonyezewa kitufe chake.Kwenu nyinyi hoja mzuri ni kupongeza pongeza tu?
In God we Trust
Shukeni tukasukume pangaboi
In God we Trust
Na tutaongezaga mabombadia mengine mengi mpaka mkome kabisaView attachment 1027133
Shirika lingine hili nalo limefifisika BMI budget airline limepaki.
Nasikia ATCL nalo linasukumwa na abiria sasa habari ndio hiyo.
Tundu Lissu,Zitto Kabwe walituonya tukawaona wachawi haya sasa!!