Shirika la Ndege, FlyBMI lafirisika!

Siku hizi wanatumia nguvu za abiria kulisukuma lidege

In God we Trust
 
Chadema wanatamani hata nchi yetu ipigwe bomu la nyukilia wote tuangamie, wanajua kuponda tu, kusiliba na kutukukana

Ofisi yao pale ufipa ni chafu kama choo. No one bother, mwenyekiti anasaini ruzuku ya mamilioni kwa mwezi na misaada ya nje lakini hakuna anaeuliza. Akitokea shujaa anasema ukweli anaitwa msaliti.
Makamanda tuwaache kama walivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuh inamaana tulipewa kama mabaki au ?
Kwenye wasafiri wengi wanaotumia ndege na pia ujuzi wa kiundeshaji, na access ya mitaji na wawekezaji na wataalam wa kiufundi na kiiiila kitu, na bado wanakula hasara kwa sababu ya ugumu wa biashara hii.

Hapa kwetu wataficha kwamba tunakula hasara, na watamwaga hela kuziba mapengo, cash injection, kama ambavyo juzi wame pampu bilioni 600 zikatengeneze ndege ambazo kumbe hazina warranty. Mkataba mbovu!

In God we Trust
 
Sasa hapo mapungufu ya hoja yako wapi ndugu yetu?
Mada zako nyingi zinauwalakin samahan kwa kuusema ukweli huu, angalia aina ya presentation yako, mara uweke vituko mara uweke mbwembwe,

Jaribu kuwa unaleta hoja ili hata Lumumba waamini kwamba wamepoteza kweli mtetezi mtandaoni,

In God we Trust
 
Kwenu nyinyi hoja mzuri ni kupongeza pongeza tu?
Ujinga ni kuzungumzia jambo lenye maana nyingine ukimaanisha kitu kingine.

Ndege kusukumwa unaona jambo la ajabu sana? Unaona kama ndege ni mbovu? Unaona kama ATCL imefirisika?

Kwanini tunaomba mabaya kwa mambo yahusuyo nchi? Eti unaomba shirika la ATL lifirisike? Sasa utapata faida gani?
Bora liendelee kuwepo maana kuna watanzania wamepata ajira pale either direct au indirect.

Hao wanasiasa wenyewe wanapanda ndege hizo hizo lakini bado wanaponda.

Pamoja na ndege hizo kutokua na nauli ya mtanzania wa kawaida kama mimi bado siwezi kuziombea mabaya, acha ziwepo zifanye kazi wenye uwezo watapanda nami siku nikipata hela nitapanda

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Back
Top Bottom