Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,420
- 40,405
Nakubaliana nawe,tatizo watu wanachukulia namna anavyojibizana na US inamaanisha ana nguvu zaidi.Anajitutumua kivipi? Kujilinda ni jukumu la kila nchi duniani, ata Tz yako haitaki vita na ina jukumu la kujilinda, au ww ulitaka Iran ikae kiboyaboya? Iran wana haki ya kuangalia vyema usalama wao dhidi ya ngurue pori