Shirika La Mionzi Ya Atomiki Lakuta Mionzi Ya Nyuklia Kwenye Jengo Nchini Iran Lililotajwa Na Ripoti Ya Netanyahu Mwaka Jana.

lauzi96

JF-Expert Member
Jul 10, 2014
425
1,000
Hao Israel wanamakombola ya nuclear kibao na kwenye mikataba ya kuzuia usambaaji wa silaha za nuclear hataki kusaini hila hataki wenzake wawe nazo kila mtu aharibu zake itakuwa safi kama ww unazo acha wengine pia wawe nazo
 
lauzi96

JF-Expert Member
Jul 10, 2014
425
1,000
Kumbuka vita ya Iran na Iraq
Nakumbuka Iraq alisaidiwa na west wote akiwemo USA na silaha za sumu alipewa lakini vita ilikuwa miaka 8 na hapo kabla ya vita Iran ilikuwa tayari kwenye vikwazo lakini Iraq alipoteana ww unafikiri Kwann Israel kila siku anapga Syria lakini Iran haendi unafikiri hana akili au hukumbuki Iraq alivyotaka kutengeneza nuclear Israel alifanya nn?mbona haendi Iran na anajua mitambo ilipo haendi kupiga.
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
12,694
2,000

Hadi sasa Iran Haitaki vita kwa sababu itapoteza,kinachofanyika kwa sasa anajitutumua kama baba mwenye mji wake anayejitutumua kulinda familia yake
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
12,694
2,000
Sio kwamba atapoteza bali maafa yatakuwa makubwa sana mashariki ya kati. Hicho ndicho anachomaanisha Iran. Ila amewapa ruhusa kujaribu ni bure(kwa vitendo lakini).
Mkuu zile ni kauli tu,ni sawa na kusema sisi si masikini wakati ni masikini;na kinachofanyika sasa hivi wanatengenezewa mazingira ya wao kuvamiwa...ndio maana wataalamu wanapambana kutoa ripoti
 
Hammaz

JF-Expert Member
May 16, 2018
3,097
2,000
Mkuu zile ni kauli tu,ni sawa na kusema sisi si masikini wakati ni masikini;na kinachofanyika sasa hivi wanatengenezewa mazingira ya wao kuvamiwa...ndio maana wataalamu wanapambana kutoa ripoti
Hayo anayozungumziwa Iran yameanza leo kwani? Vita si jambo rahisi kama unavyodhani hususan kama unayetaka kupambana naye anao msuli wa kukabiliana nawe.

Marekani amemjaribu Muajemi mara nyingi kwa vitendo kuanzia kwa kuwapeleka makomandoo wake ili awaokoe raia wake, katika hili Us alishindwa. Kaitumia Iraq na kuipa zana na mbinu kupambana na Iran, kati hili Us alishindwa. Drones zake za kijasusi za hali ya juu! Ameziingiza kwenye anga ya Iran zikalipuliwa na hili kalifanya ndani ya miaka tofauti lakini bado Us aliendelea kushindwa.

Kundi analolidhamini Iran la Hizbullah huwa linamtoa jasho israel na ukitaka kujua hili rejelea vita iliyopiganwa baina ya Israel na Hizbullah. Mwaka 1982 Lebanon na Israel war jeshi la nchi ya Lebanon lilizidiwa na Israel, Kundi la Hizbullah likaingilia kati likabadili mchezo wote na wakaikomboa nchi yao ya Lebanon. Mwaka 2006 walipigana tena kati ya nchi ya Israel na kundi la Hizbullah. Israel ilipigwa na huu ni ukweli mchungu.

Sasa wewe mwenzangu unamuangaliaje Muiran? Umejaribu kumuangalia naye yupoje?
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
4,890
2,000
Anajitutumua kivipi? Kujilinda ni jukumu la kila nchi duniani, ata Tz yako haitaki vita na ina jukumu la kujilinda, au ww ulitaka Iran ikae kiboyaboya? Iran wana haki ya kuangalia vyema usalama wao dhidi ya ngurue pori
Hadi sasa Iran Haitaki vita kwa sababu itapoteza,kinachofanyika kwa sasa anajitutumua kama baba mwenye mji wake anayejitutumua kulinda familia yake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom