Shirika La Mionzi Ya Atomiki Lakuta Mionzi Ya Nyuklia Kwenye Jengo Nchini Iran Lililotajwa Na Ripoti Ya Netanyahu Mwaka Jana.

Anajitutumua kivipi? Kujilinda ni jukumu la kila nchi duniani, ata Tz yako haitaki vita na ina jukumu la kujilinda, au ww ulitaka Iran ikae kiboyaboya? Iran wana haki ya kuangalia vyema usalama wao dhidi ya ngurue pori
Nakubaliana nawe,tatizo watu wanachukulia namna anavyojibizana na US inamaanisha ana nguvu zaidi.
 
Hayo anayozungumziwa Iran yameanza leo kwani? Vita si jambo rahisi kama unavyodhani hususan kama unayetaka kupambana naye anao msuli wa kukabiliana nawe.

Marekani amemjaribu Muajemi mara nyingi kwa vitendo kuanzia kwa kuwapeleka makomandoo wake ili awaokoe raia wake, katika hili Us alishindwa. Kaitumia Iraq na kuipa zana na mbinu kupambana na Iran, kati hili Us alishindwa. Drones zake za kijasusi za hali ya juu! Ameziingiza kwenye anga ya Iran zikalipuliwa na hili kalifanya ndani ya miaka tofauti lakini bado Us aliendelea kushindwa.

Kundi analolidhamini Iran la Hizbullah huwa linamtoa jasho israel na ukitaka kujua hili rejelea vita iliyopiganwa baina ya Israel na Hizbullah. Mwaka 1982 Lebanon na Israel war jeshi la nchi ya Lebanon lilizidiwa na Israel, Kundi la Hizbullah likaingilia kati likabadili mchezo wote na wakaikomboa nchi yao ya Lebanon. Mwaka 2006 walipigana tena kati ya nchi ya Israel na kundi la Hizbullah. Israel ilipigwa na huu ni ukweli mchungu.

Sasa wewe mwenzangu unamuangaliaje Muiran? Umejaribu kumuangalia naye yupoje?
Milima ya Golan ilichukuliwa na Israel mpaka leo wanaimiliki sasa unawasifia hizbulah kwa upuuzi mtupu!
 
Hao Israel wanamakombola ya nuclear kibao na kwenye mikataba ya kuzuia usambaaji wa silaha za nuclear hataki kusaini hila hataki wenzake wawe nazo kila mtu aharibu zake itakuwa safi kama ww unazo acha wengine pia wawe nazo
Kichaa mkorofi na asiye na malengo ni mwiko kimkabidhi rungu!

Hivi kwa akili zako unatamani silaha za nuclear zisambae kama SMG kila nchi iwe nazo?

Ukisikia tu mlio wa baruti hukai ndani acha hizo wewe silaha za nyuklia zisikie tu WE WANT PEACEFUL WORLD
 
Dont mess with the persians
Nakumbuka Iraq alisaidiwa na west wote akiwemo USA na silaha za sumu alipewa lakini vita ilikuwa miaka 8 na hapo kabla ya vita Iran ilikuwa tayari kwenye vikwazo lakini Iraq alipoteana ww unafikiri Kwann Israel kila siku anapga Syria lakini Iran haendi unafikiri hana akili au hukumbuki Iraq alivyotaka kutengeneza nuclear Israel alifanya nn?mbona haendi Iran na anajua mitambo ilipo haendi kupiga.
 
Back
Top Bottom