Shirika La Mionzi Ya Atomiki Lakuta Mionzi Ya Nyuklia Kwenye Jengo Nchini Iran Lililotajwa Na Ripoti Ya Netanyahu Mwaka Jana.

Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,250
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,250 2,000
Anajitutumua kivipi? Kujilinda ni jukumu la kila nchi duniani, ata Tz yako haitaki vita na ina jukumu la kujilinda, au ww ulitaka Iran ikae kiboyaboya? Iran wana haki ya kuangalia vyema usalama wao dhidi ya ngurue pori
Nakubaliana nawe,tatizo watu wanachukulia namna anavyojibizana na US inamaanisha ana nguvu zaidi.
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
22,962
Points
2,000
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
22,962 2,000
Hayo anayozungumziwa Iran yameanza leo kwani? Vita si jambo rahisi kama unavyodhani hususan kama unayetaka kupambana naye anao msuli wa kukabiliana nawe.

Marekani amemjaribu Muajemi mara nyingi kwa vitendo kuanzia kwa kuwapeleka makomandoo wake ili awaokoe raia wake, katika hili Us alishindwa. Kaitumia Iraq na kuipa zana na mbinu kupambana na Iran, kati hili Us alishindwa. Drones zake za kijasusi za hali ya juu! Ameziingiza kwenye anga ya Iran zikalipuliwa na hili kalifanya ndani ya miaka tofauti lakini bado Us aliendelea kushindwa.

Kundi analolidhamini Iran la Hizbullah huwa linamtoa jasho israel na ukitaka kujua hili rejelea vita iliyopiganwa baina ya Israel na Hizbullah. Mwaka 1982 Lebanon na Israel war jeshi la nchi ya Lebanon lilizidiwa na Israel, Kundi la Hizbullah likaingilia kati likabadili mchezo wote na wakaikomboa nchi yao ya Lebanon. Mwaka 2006 walipigana tena kati ya nchi ya Israel na kundi la Hizbullah. Israel ilipigwa na huu ni ukweli mchungu.

Sasa wewe mwenzangu unamuangaliaje Muiran? Umejaribu kumuangalia naye yupoje?
Milima ya Golan ilichukuliwa na Israel mpaka leo wanaimiliki sasa unawasifia hizbulah kwa upuuzi mtupu!
 
Maalim Shewedy

Maalim Shewedy

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
3,435
Points
2,000
Maalim Shewedy

Maalim Shewedy

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
3,435 2,000
Hahahahahaha
Sio kwamba atapoteza bali maafa yatakuwa makubwa sana mashariki ya kati. Hicho ndicho anachomaanisha Iran. Ila amewapa ruhusa kujaribu ni bure(kwa vitendo lakini).
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
895
Points
500
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
895 500
Milima ya Golan ilichukuliwa na Israel mpaka leo wanaimiliki sasa unawasifia hizbulah kwa upuuzi mtupu!
Golan ilikuwa Syria sasa vip , hizbulah azuie ?
 
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
4,882
Points
2,000
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
4,882 2,000
sawa lakini Syria sio Hizbulah
Syria ndio walioSet up Hezbollah. Majeshi ya Assad yalikaa Lebanon kwa miaka 40.Mpaka alipouwawa Rafiki Hariri ndio yakashinikizwa kuondoka!
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
895
Points
500
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
895 500
Syria ndio walioSet up Hezbollah. Majeshi ya Assad yalikaa Lebanon kwa miaka 40.Mpaka alipouwawa Rafiki Hariri ndio yakashinikizwa kuondoka!
Ata Makongoro ni uzao wa Nyerere lakini Makongoro sio Nyerere
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
895
Points
500
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
895 500
Kama nchi inalala chali kakikundi si katabong'oa na ky mkononi!?
Inategemea na nchi hiyo, na ukubwa wa kundi hilo , kimkakati na kimiundo mbinu
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
22,962
Points
2,000
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
22,962 2,000
Inategemea na nchi hiyo, na ukubwa wa kundi hilo , kimkakati na kimiundo mbinu
Syria imemanua (naongelea golan heights) ije iwe kakikundi?!!
Katatawanywa kinyesi kisawasawa!!!
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
895
Points
500
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
895 500
Syria imemanua (naongelea golan heights) ije iwe kakikundi?!!
Katatawanywa kinyesi kisawasawa!!!
Kakikundi kanatajwa kila siku lakini hakamalizwi
 
clinical pharmacology2

clinical pharmacology2

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
834
Points
1,000
clinical pharmacology2

clinical pharmacology2

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
834 1,000
Milima ya Golan ilichukuliwa na Israel mpaka leo wanaimiliki sasa unawasifia hizbulah kwa upuuzi mtupu!
Hizbullah has nothing to do with the Golan height . it's not part of their country
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Hao Israel wanamakombola ya nuclear kibao na kwenye mikataba ya kuzuia usambaaji wa silaha za nuclear hataki kusaini hila hataki wenzake wawe nazo kila mtu aharibu zake itakuwa safi kama ww unazo acha wengine pia wawe nazo
Kichaa mkorofi na asiye na malengo ni mwiko kimkabidhi rungu!

Hivi kwa akili zako unatamani silaha za nuclear zisambae kama SMG kila nchi iwe nazo?

Ukisikia tu mlio wa baruti hukai ndani acha hizo wewe silaha za nyuklia zisikie tu WE WANT PEACEFUL WORLD
 
gwijimimi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Messages
7,147
Points
2,000
gwijimimi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2011
7,147 2,000
Dont mess with the persians
Nakumbuka Iraq alisaidiwa na west wote akiwemo USA na silaha za sumu alipewa lakini vita ilikuwa miaka 8 na hapo kabla ya vita Iran ilikuwa tayari kwenye vikwazo lakini Iraq alipoteana ww unafikiri Kwann Israel kila siku anapga Syria lakini Iran haendi unafikiri hana akili au hukumbuki Iraq alivyotaka kutengeneza nuclear Israel alifanya nn?mbona haendi Iran na anajua mitambo ilipo haendi kupiga.
 

Forum statistics

Threads 1,315,679
Members 505,292
Posts 31,866,577
Top