Shinyanga university

admin na madarasa ni kolandoto, msosi ni Maganzo, kulala ni Mwadui kwenye magofu ya compa

Mshikaji unaonyesha unakujua sana huko umesahau Mwadui kuna magofu yatawatosha pale boidi ya juu/chini, police kota, deli, na alamasi road kuna magofu kibao
 
kumbe niko kwenye jukwaa la utani/jokes nlifikiri yasemwayo ni kweli
 
kumbe niko kwenye jukwaa la utani/jokes nlifikiri yasemwayo ni kweli
Du Masika ww ndio umenishtua unajua nilishafika hata kwenye google hichi chuo ni cha lini, ku-click anwani si nikaletwa tena hapa, na nikaambiwa ni kanyanga mm sitii neno tena
 
Wakati wa uchaguzi nilisikia ahadi ya kuanzishwa zaidi universities tatu, Shinyanga univ., Songea Univ. na Kigoma univ.
Wenye data vipi ujenzi umeshaanza?
 
Onyesheni majengo ya Shinyanga University hebu acheni mzaha bana kwani nataki nimchukulie binti yangu form ya kujiunga mie!!!!!!!!
 
labda walifocus kwenye hii lutuba, ardhi nzuri kweli!
 
Halafu utegemee hapo patamtoa Hakimu ambaye atachukia rushwa........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…