Unafikiri hiyo 30000 anachukua kwa mtu mmjaUnapoteza ajira kwa rushwa ya Tsh.30,000!
Pole Mangi. Naona uliamua kujiongezea nyongeza ya mshahara na daraja kiana.
Acha kuingiza ukabila ili uvuruge madaMkuu kwani Mushi ni mchaga?!
Duuh Mushi kadhalilika, hawa wakiwa bar wanajifanya wanajua kununulia watu bia kumbe wanakula elfu30 30 za wananchiOfisa wa Nida mkoani Shinyanga, Haroon Mushi katikati akiwa mikononi mwa Polisi baada ya kutuhumiwa kutoza fedha wananchi kiasi cha Sh.30,000 ili awapatie namba za NIDA huku akishilikiana na wakala usajili laini za simu kwa alama za vidole Victor Vicent.
Mwambie aliyetaja hilo kabila bwashee!
Kufa kufaana Mushi kajiongeza.Ofisa wa Nida mkoani Shinyanga, Haroon Mushi katikati akiwa mikononi mwa Polisi baada ya kutuhumiwa kutoza fedha wananchi kiasi cha Sh.30,000 ili awapatie namba za NIDA huku akishilikiana na wakala usajili laini za simu kwa alama za vidole Victor Vicent.
Ofisa wa Nida mkoani Shinyanga, Haroon Mushi katikati akiwa mikononi mwa Polisi baada ya kutuhumiwa kutoza fedha wananchi kiasi cha Sh.30,000 ili awapatie namba za NIDA huku akishilikiana na wakala usajili laini za simu kwa alama za vidole Victor Vicent.
Mchaga kwa pesa ni kama kapewa laana walahi..Ofisa wa Nida mkoani Shinyanga, Haroon Mushi katikati akiwa mikononi mwa Polisi baada ya kutuhumiwa kutoza fedha wananchi kiasi cha Sh.30,000 ili awapatie namba za NIDA huku akishilikiana na wakala usajili laini za simu kwa alama za vidole Victor Vicent.
Kwa hiyo angeachwa aendelee kuumiza wanachi ? Kwani umeambiwa zoezi la kuandiksha leo ndio mwisho ? Halafu dwadline ndio mdudu gani ?
Hawa wachagga nida Nani aliwaleta kila Kona ya nida wapo na ndio vikwazoUnapoteza ajira kwa rushwa ya Tsh.30,000!
Pole Mangi. Naona uliamua kujiongezea nyongeza ya mshahara na daraja kiana.
Huduma ni bure kwa nini uuze huduma?Sasa wamemkamata kwa kosa gani wakati alikuwa anawasaidia hawa washamba wa taifa kupata namba za vitambulisho vyao
Hizo namba alikuwa akizipata wapi wakati server iko kibaha
Tena utakuta ana cheo kidoooogooo!Samahani mkuu, huyo mwenye kitambi ndio afisa wa polisi..??
Maana mimi habari haijanistua sana, ila kidogo nimejikuta nawaza mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app