Shinyanga: Ofisa wa NIDA mbaroni kwa kutoza wananchi Tsh 30,000 ili kuwapatia namba

Ofisa wa Nida mkoani Shinyanga, Haroon Mushi katikati akiwa mikononi mwa Polisi baada ya kutuhumiwa kutoza fedha wananchi kiasi cha Sh.30,000 ili awapatie namba za NIDA huku akishilikiana na wakala usajili laini za simu kwa alama za vidole Victor Vicent.

Duuh Mushi kadhalilika, hawa wakiwa bar wanajifanya wanajua kununulia watu bia kumbe wanakula elfu30 30 za wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani alitakiwa kutoza tsh ngapi? Kama katoza kiwango cha chini si ni suala la kuongea tu kuwa aongezee hicho kiasi kingine kilichobaki.?huku nako mbona wanatoza tsh 30,000 na risiti ya efd unapewa.

Ofisa wa Nida mkoani Shinyanga, Haroon Mushi katikati akiwa mikononi mwa Polisi baada ya kutuhumiwa kutoza fedha wananchi kiasi cha Sh.30,000 ili awapatie namba za NIDA huku akishilikiana na wakala usajili laini za simu kwa alama za vidole Victor Vicent.

Imekuwa deal kama ununuzi wa ndege
IMG_2269.JPG
 
Back
Top Bottom