Shinyanga Mjini Vs Tabora Mjini

Hao vichaa wanapanda treni bure!? Mbona huko unakosema wanatoka (mwanza n.k) idadi ya vichaa ni wachache kuliko hapo tabora?
Punguzeni bangi na uchawi. Leo hii mnazidiwa kwa kila kitu na mkoa wa Kigoma (manispaa) kuanzia hotels kali, barabara, kumbi za starehe na huduma nyinginezo...amkeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipitiwa huyo.
Na Igunga ni kame ila wanazalisha mpunga hujawahi ona utadhani umefika Kyela
 
Wewe muongo na nimnafik
Sasa ukisema barabara shinyanga nzuri Tabora wasemeje eti taa za barabarani unashangaa hilo je ungefika Tabora uone mpaka taa za kuongozea magari.
Tatizo ushamba mwingi sana hapo shinyanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee sasa huu ni ubishani wa kwenye Gahawa, kama tatizo ni traffic lights hata Kahama zipo tena ni wilaya tu.

Let's argue kuhusu vitu vya maana, kama mademu wa bila kutongoza Ipuli na madem wa kuhonga wanaume wa Ngokolo A na B
 
Barabara za lami Tabora zimekuwepo toka kipindi cha Mzee Mwinyi na sasa hivi kila mtaa ni lami tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkoa gani Tanzania hauna lami kila kona?
Tena Tabora, Shinyanga,Geita, Katavi, Simiyu, Singida, Dodoma, Songwe n.k walikuwa na project mpya za kujengewa barabara za mitaa zilizokuwepo zimevunjwa na kupigwa upya na mikoa mipya ambayo haikua na barabara za mitaa imekuwa nazo.
 
Wasukuma na Wanyamwezi ni ndugu na wanaongea lugha moja
Sio watani
Watani zao watu wa pwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha L na R

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi haiwezi kufanya mtu kua kicha ila labda akiwa anadalili za ukochaa ama anamikataba na majini ambayo hayataki harufu hiyo kabisa
 
Sababu wanalala mapema,saa moja unusu,kuondoa stendi pale mjini Kati kumechangia kuua mji wa shinyanga ,hakunaga Tena amsha amsha Kama zamani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…