Shinyanga Mjini ni kelele tu za bodaboda zilizotobolewa exhaust

Sound pollution ni mojawapo ya majanga ya kimazingira ambayo tunayafumbia macho na kuyqchukulia powa
Sasq hivi natokea Mwenge ule mtaa unaoingia kituo kipya Cha mabasi kama unatokea meikiti wa Mwenge
Mtaa mzima Kuna fala mmoja kafungulia mziki mtaa mzima ni kelele tu
Mitaa kama Manzese Midizini, Karume, Kariakoo, Tandika na Mbagala kelele za matangazo ni nyingi kiasi kwamba hakuna tangazo linalosikika
Kuna wakati jitihada zilifanyika kudhibiti kelelle lakini zilifanyika kisiasa zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom