Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

Hivi mkutano mkubwa kama huu ulihutubiwa na dr au kiongoz wa kawaida? Alafu hawa watu hawajasombwa kwa malori kama ccvm. Kwel nawaambia ccm someni alama za nyakati


Hawa wengine huwa inakuwa hivi. ..
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1406541617.183945.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1406541617.183945.jpg
    12.5 KB · Views: 670
Dah shetani na mipango yake ya hila ameshindwa kabisa na kulegea wazidi kabisa kuhaibishwa na kufedheheshwa dah wameumbukaje
 
Siasa za Tanzania ni zaidi ya Komedi....

Full vichekesho....Ningekuwa na uwezo nisingeruhusu hao Madiwani kurejea CHADEMA....Hao ni watu hatari sana na hawafai kuwemo ndani ya CHADEMA...Kamwe msiwaamini.....Usishangae kesho kusikia wamerudi CCM

Mkuu haya waliyoyasema kama kitubio ni machache kati ya mengi waliyoyasema offline. Inshort ACT imevuliwa nguo
 
Na hili ni pigo baya sana kwa ccm na vibaraka wake. Wamesababisha wananchi wa kata husika wamekosa uwakilishi kwa siasa za hadaa na ghiriba.

Kaka Mtoi, ahsante kwa taarifa, Hawa ni waasi wasipewe nyazifa yoyote ile ndani ya chama, they are Trojans never trust them
 
Mkuu Mohamedi Mtoi asante sana kwa kazi iliyotukuka ya kuwavua magamba ngozi ngumu!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Mkwawa, hili ni tatizo kubwa la taifa zima anagalia Mgodi wa almasi mwadui, IPTL, mererani.

Kamati ilundwa na Lowassa alisema mambo yaote yatawekwa wazi kuhusiana na ugomvi ulipo kati ya wachimbai wadogo na kampuni ya akina Masha (Naibu waziri ).


Usitegemee jipya leo huko Bungeni chini ya kiranja wao current PM.


Kama Bunge halina uwezo au meno juu ya mikataba eti ni sirikali kati ya serkali na wawekezaji je ni kwa nini Bajeti ya hiyo wizara isiptishewa na wawekezaji na serikali?

Mimi Mandela niliwaambia wawekezaji toka SA waje kuwekeza kwa lengo la manufaa kwa pande mbili na hasa kwa wanachi na siyo kikundi cha viongozi wenu waliokuwa na tamaa na utajiri! wa kulaumiwa siyo wawekezaji bali walaumuni viongozi wenu ambao wameweka mbele maslahi yao binafsi.

hii ni apartheid nyingine juu ya maslahi ya taifa yanayotokana na mali asili zenu!

Wala hamhitaji akina mandela wengi bali mmoja tu atakayeamua kusema ukweli na kutakataa haya maoni hata kama atawekwa ndani kwa miaka 27 kama mimi.
Lakini hatimaye apartheid iliisha.

Kweli kabisa mkuu. Hizi picha sisi walimu tunaita teaching aids kwani zinamfanya mwanafunzi aelewe sana
 
punde tutasikia wa kigoma wakifanya hivyo hivyo
 
mkutano unaendelea sasa mjini shinyanga na pichani ni madiwani walio rubuniwa na ccm wakirejea rasmi baada ya kutubu makosa yao.

sasa naona mnakula matapishi baada ya kuona ngoma nzito. Na bado act itawamaliza. Mliowaita wasaliti mmeanza kuwaona keki tena.
 
Mkuu.

Vipi na wale walio waahidi mafurushi ya fedha halafu wakawapa hela bandia huku wakiwaandalia mazingira ya kwenda kwenye ile Alliance for Cowards and Traitors?

Mwaka siyo mwingi tutaheshimiana we msukule usiyejitambua. Baada ya kufanya kazi yako uliyosomea umeamua kushikiwa akili na watu waliokimbia umande.

You should be ashamed kupewa maagizo na mwenyekiti wenu Mr. Zero Brain aliyetaga katika mtihani wa kidato cha nne. Watakutumia lakini baada ya uchaguzi mwaka ujao utatelekezwa kama kikongwe.
 
Zamani CHADEMA isingewasamehe 'wasaliti' hawa

naona now imeanza 'kunywea' na inatumia 'diplomacy' kutatua matatizo...

if only ........

cc Pasco

Ni kweli. lakini nahisi huu ulikuwa mpango maalum
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi kabisa huu...ivi nin tafsiri halisi ya wasaliti ndan ya chadema??!! Hiki chama kinaongozwa na wahuni i cnt blv ths ---- is happenin...!!
 
Upuuzi kabisa huu...ivi nin tafsiri halisi ya wasaliti ndan ya chadema??!! Hiki chama kinaongozwa na wahuni i cnt blv ths ---- is happenin...!!

Kudadadeki safi sana chadema makini. Cheki sasa huyu jamaa alivyokasirika wakati alifikiri chadema washakufa kumbe walikuwa hai tena makini balaa. Ccm mtaharisha damu mwaka huu na ujao
 
Back
Top Bottom