Shindano shindano shindano

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Zawadi nono ya shilingi 10000/= itatolewa kwa yeyote atakaye shindinda nilikuwa nahitaji kupata signature nzuri kabisa kwenye profile .Je niandike kauli ipi ambayo itakuwa signature nzuri kabisa.Tupieni signature hizo hapa nitakayo ipenda kuliko zote huyo aliyo itoa hiyo signature na mzawadia shilingi 10000 za kitanzania.
 

Hapo kwenye mabano mie......umeniachaaaaa.....!!!!!
 
Ongeza hiyo zawadi....10000 hela ya vocha tu hiyo lol maneno ya joti

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hii hapa: mimi bado mtoto ukubwani hapanifai.
 
Halafu SAYANSIKIMU mbona ha2kuon kule mtaani kwe2 ndo umehama moja kwa moja
 
Last edited by a moderator:
Nakupa yangu ila mwishoni andika .............. Mamndenyis' signature.
 
Au tumia hii .......... chuki nichukie lakini moyo wangu niachie.......
 
Au hii hapa.......... challlenges ni kipimo cha ukomavu.............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…