mzee wa 100 song la yahaya linakuhusu kwa %ngapi ? Na yeyote yule aeleze song limetouch kiasi gani mie nahisi Madame B linamhusu zaid
kwiwkwiwkwiwkwiwkwi umeniweza sana leo haya Bishanga uwe na weekend njema na Zahra White wakoNa jide ni Nivea
Mzima mkuu Arushaone hakuna mbaya kakaYahaya ni mimi mkuu, umepatia. Mzima wewe?
Neno lako kwangu sheria. Mia
hahahaa sio 100 kama jina lakoHahahaaa.... 80%. mia
Kwani mshindi anachukua zawadi gani?
ASHA dii .. Heaven on earth......... Kongosho ...... Lady doctor ...... sunsharie ... Madame B .....lady furahia .. Mama JJ ... nitarudi na ya me maarufu ngoja nivae bullet proof.
....unaishi wapi?
...kwani jina halisi nani?
.
.
.
Maskani yako......
Nyumba namba haijulikani.....
#umeona ???!
ASHA dii .. Heaven on earth......... Kongosho ...... Lady doctor ...... sunsharie ... Madame B .....lady furahia .. Mama JJ ... nitarudi na ya me maarufu ngoja nivae bullet proof.