Shindano la.....!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Jamaa mmoja alikuwa amejipanga foleni katika shindano la kumpata mtu mwenye dick/pen*s ndefu zaidi.Alikuwa ni mtu wa nne kuingia na ndipo alipoikuta rula ya sentimeta 100.Rula ilikuwa imewekwa alama sehemu tatu na wale watu watatu waliomtangulia;23cm,29cm na 35 cm.Jamaa alipojipima urefu wa dick yake akafikisha 40cm,akaanza kushangilia akidhani amewafunika wenzake wote.Msimamizi akamwambia;kijana,wewe umejipima kuanzia mwanzo wa rula(0cm) kwenda mwisho wa rula(100cm) lakini wenzio watatu waliokutangulia wamejipima kuanzia mwisho wa rula(100cm) kurudi mwanzo wa rula(0cm) kwa hiyo wewe huna lolote,kajipange upya.
 
nafikiri ilinywea na ikawa ndogo kama pipi ya kifua. Nalog off
 
sm 40, naye si haba! Kama tembo vile huo mshipi, aende akishangilia peke yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…