Shindano la wajasiriamali "Mo Entrepreneurs" lazinduliwa

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,958
Bilionea wa kibongo kupitia taasisi yake pamoja na kampuni binafsi inaitwa Darecha Ltd(micro venture capital firm) wameanzisha shindano la idea za biashara kutoka kwa kampuni/sole traders wachanga.Washindi wa 3 kupatikana na kila mmoja kushinda 10m na kupata mentorship and other technical assistance kutoka kwa relevant bodies.

Itakua ni win win situation sababu na hao Darecha Ltd watahusika na proceedings kutoka kwa hiyo idea walio "venture" na wewe/ kampuni yako.

Vipi wadau mnaonaje hii kitu??

Form ya kushiriki hii hapa
>>>> http://www.modewjifoundation.org/wp-content/uploads/2016/01/Mo-Entrepreneurs-Application-Form.pdf

Na maelezo kamili haya hapa ya shindano kwa ujumla
>>>> http://www.modewjifoundation.org/mo-entrepreneurs-competition/
 
bakhressa sidhani, yule jamaa hapendi kabisa kujishughulisha na watu, yaani amejitenga balaa, he is a good businessman though
Na niliisema hivyo kichokozi kabisa... Anyway wanasemaga anawasaidia msikitini
 
nimeiona form ya kuijaza ..mtoa maada dizain kama hili shindano alijamlenga mjasiliamali endapo form inabidi kuijaza kwa kwa English tu.coz siyo wajasiliamali wote wdogo wanajua kingeleza wengne ni wauza mayai wanajua no"yes"..
 
Lengo lake ni kuwa promote wale wenye "ujuzi" na ujasiriamali wa kinadharia na watu hawa English ya kuandika na kuongea wanamudu.
 
bakhressa sidhani, yule jamaa hapendi kabisa kujishughulisha na watu, yaani amejitenga balaa, he is a good businessman though
Anajishughulisha na watu,ila watu walewale wa bloodline...
 
Hili shindano nimelisoma na nimesoma fomu yao,ya application,kimsingi wako wanatafuta business ideas...
 
Ulitaka ajishughulishe na wewe ili iweje?
duuuuuuhhhhh, nimekugusa pabaya nini? kwani nimesema nataka ajishughulishe na mimi? mimi nimetoa fact, kua huyu jamaa kutokana na personality yake hawezi leta hayo mashindano, unamiiiiiind, wewe mdini nini?
 
Sio mdini. Ulitaka ajishughulishe na wewe?
 
Back
Top Bottom