Je kampuni hii ni halali?

Rihana

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
498
250
Commercial Loans (4)
600621377_37329ea905.JPG


Commercial Loans has a variety of loan products tailor made for micro and small medium entrepreneurs which helps them grow their bussiness and secure their family needs.
COMMERCIAL LOANS NI NINI?
Commercial Loans are?

Commercial loans ni Taasisi ya kifedha inayohusika na utoaji mikopo kwa wafanya biashara / wajasiriamali wakubwa na wodogo wanaojitegemea pia inatoa mikopo kwa watumishi wa serikali na wafanyakazi katika kampuni binafsi.

Commercial Loans inaendesha shughuli za utoaji mikopo kupitia mfuko maalum wa Uwekezaji Akiba unao undwa na Umoja wa wanachama waliojiunga katika huu mfuko wa Uwekezaji akiba.

Commercial Loans ni moja kati ya Taasisi za utoaji mikopo yenye leseni 29 Tanzania pia ni moja kati ya Taasisi iliyo nunua hisa kubwa kutoka katika Taasisi za kibenki na kunufaika zaidi kwa kupata wanachama zaidi ya 3497.3


600621376_286a9ff5ce.JPG
UTARATIBU WA KUJIUNGA COMMERCIAL LOANS NA KUPATIWA MKOPO
PROCEDURE FOR JOINING COMMERCIAL LOANS
Loans and supplied

Commercial Loans inamuwezesha kila mtanzania kuweza kujiunga na hii Taasisi na kua mwanachama katika mfuko wa Uwekezaji akiba kupitia Umoja wa wanachama nakupatiwa mkopo wa pesa bila tatizo lolote lile

Kuna njia mbili sahihi za kuweza kujiunga kwa mahitaji ya mkopo


(i) KUJIUNGA KATIKA TAWI KUU KUPITIA VIKUNDI VYA WANACHAMA
Kujiunga katika tawi kuu ni moja ya utaratibu uliowekwa na uongozi wa Commercial Loans, mtanzania yoyote yule anaruhusiwa kufika katika tawi letu / Ofisi yetu kuu iliyopo Mlimani City Dar es salaam na kujiandikisha kwa kuchukua fomu ya maombi ya kujiunga Uanachama na ataunganishwa katika vikundi vya wanachama wetu na atatakiwa kuanza kuwekeza akiba kila wiki kwa muda wa miezi mitatu kisha atapatiwa fomu ya maombi ya mkopo ataijaza na kuilipia ada atajadiliwa na wana vikundi wenzake pamoja na uongozi wetu maombi yake ya mkopo yataidhinishwa na kupatiwa mkopo baada ya kupitia hizo taratibu tajwa hapo juu


(ii)KUJIUNGA KUPITIA ONLINE / KATIKA MTANDAO
Kujiunga Online katika mtandao ni moja ya njia rahisi, haraka na salama iliyoboreshwa zaidi na yenye ulinzi, mtanzania yoyote anaruhusiwa kujiunga kupitia mtandaoni katika tovuti hii kwa kujaza fomu ya maombi ya mkopo na kuituma kwetu kisha atatakiwa kulipia ada ya uanachama pamoja na kuwezesha mfuko wa Uwekezaji Akiba kwa kuweka akiba yake ya fedha kupitia M-PESA au TIGOPESA na akapatiwa mkopo wake kwa haraka zaidi ndani ya dakika55 tu.



UTARATIBU WA KUPATA MKOPO KWA NJIA YA MTANDAO
The process to find you a loan through the Internet

Utaratibu wa kujiunga mtandaoni kupitia katika tovuti hii ni rahisi sana, fomu za maombi ya mkopo zinapatikana katika hii tovuti. Mtanzanzania yoyote anae hitaji mkopo anaweza akajiunga kwa kujaza fomu na kufata taratibu zetu tulizoziweka na akapatiwa mkopo.

(i) UTARATIBU 1. Kabla ya kujaza fomu katika mtandao huu hakikisha umesoma maelezo yote yaliyomo katika tovuti hii na uelewe kisha ndio ujaze fomu.

(ii) UTARATIBU 2.Baada ya kujaza fomu na kuituma kwetu kupitia tovuti hii na kupokea majibu kama fomu yako tumeipokea unatakiwa kulipia ada ya kujiunga uanachama pamoja na kuweka akiba yako ya mkopo. Akiba ya mkopo itategemea na kiwango cha mkopo ulicho hitaji.

(iii) UTARATIBU 3.Malipo ya ada pamoja na akiba vinalipiwa kupitia TIGOPESA na M-PESApekee. Hatuna njia tofauti ya kupokea malipo ya ada na akiba kwa wateja watakao jiunga kupitia mtandaoni katika tovuti hii tofauti na Tigopesa au M-Pesa. Malipo yote yatapitia Tigopesa na M-Pesa kwa watakao jiunga mtandaoni pekee.

(iv) UTARATIBU 4. Kwa wateja watakao jiunga mtandaoni wanaruhusiwa kuomba Mkopo kuanzia Million Moja (1,000,000) mwisho Million Kumi (10,000,000) hatukopeshi zaidi ya Million Kumi kwa wateja watakao jiunga kupitia mtandaoni.

(v) UTARATIBU 5. Mikopo ya wateja watakao jiunga mtandaoni itatumwa kupitia M-PESA, TIGOPESA au BANK pekee.

ANGALIZO: Baada ya kujaza fomu na kulipia ada pamoja na kuweka akiba maombi yako ya mkopo yataidhinishwa na kujadiliwa, mkopo utaupokea ndani ya dakika 55.


UTARATIBU WA KUJIUNGA KATIKA OFISI ZETU NA KUPATA MKOPO
Procedure for Joining in our office and get a loan

Commercial Loans tunamruhusu mtanzania yoyote yule kufika katika ofisi zetu na kuweza kujiunga na vikundi vyetu nakua mwanachama wetu na kupatiwa mkopo

(i) UTARATIBU 1. Ni lazima kujiunga na wana vikundi vyetu ndio uweze kupatiwa mkopo, kila kikundi kinatakiwa kuwepo na watu watano. Unatakiwa uwe na mdhamini ambae nae ni mmoja kati ya wanakikundi chetu

(ii) UTARATIBU 2.
Unatakiwa kujiandikisha uanachama kwa kujaza fomu ya kujiunga na maombi ya mkopo kisha utatakiwa kuleta akiba zako kila wiki kwa muda wa miezi mitatu baada ya hapo unaruhusiwa kuomba mkopo, utajadiliwa utakapokidhi vigezo na sifa zote utapatiwa mkopo.

(iii) UTARATIBU 3. Wanachama wapya wanaotaka kujiunga na Commercial Loans wanatakiwa kujiandikisha kila mwezi, kwa mwezi usaili unafanyika mara moja tu. kila ifikapo tarehe 20 tu. Kwa yoyote anae hitaji kufika katika ofisi zetu kwa huduma za mikopo au kujiunga anatakiwa kuzingatia ratiba yetu. Kila ifikapo tarehe 20 tunapokea wanachama wapya na wateja kwa huduma zingine.

kwa atakae fika katika ofisi zetu kwa mahitaji ya kujiunga apatiwe mkopo ni lazima awe na kopi ya vitu vifuatavyo:-

1. Kitambulisho cha Mpiga kura au cha utaifa
2. Barua ya Serekali za mtaa
3. Cheti cha kuzaliwa / cheti cha makazi
4. Hati ya Nyumba / Kiwanja au Leseni ya Biashara
5. Picha 3 ndogo za passport size zenye sura yake na zingine tatu za mdhamini wake.

ANGALIZO: Hakikisha vitu vyote tajwa hapo juu unavyo kama hauna kimoja wapo au vyote huwezi kujiunga katika vikundi vyetu jaribu kujiunga mtandaoni katika hii tovuti, tunapokea wanachama wapya kila ifikapo tarehe 20 pekee.


FAIDA YA KUJIUNGA KATIKA MTANDAO
benefits of joining the network

Faida kuu ya kuanzisha mfumo huu wa kujiunga kwa njia ya mtandao kwa wateja wetu, kwanza ni njia rahisi na salama, mteja anaweza kujiunga katika mtandao akiwa mahali popote pale, muda wowote pia inamrahisishia kupokea mkopo popote pale alipo. Mteja wetu anaweza kujiunga kupitia Intaneti kwenye simu yake au kompyuta yake akiwa popote pale muda wowote ule na akapata mkopo wake.


RIBA YA MKOPO
Interest loans

COMMERCIAL LOANS tumeondoa urasimu wa upatikanaji faida kubwa katika marejesho. Riba ya mteja haiwezi kuzidi mkopo alio kopa mteja. Tumeweza kuweka RIBA ndogo ambayo kila mteja ataweza kumudu na kulipa kidogo na sisi tukapata faida. RIBA italingana katika kila mkopo, kila mteja atalipa sawa bila kuzidi au kupungua kwa RIBA. Marejesho ya mkopo yatategemea na kiwango cha mkopo kila mkopo unakiwango chake cha marejesho. Marejesho ya mkopo yataambatanishwa na kiasi cha Tshs. 10,000 (ELFU KUMI) Elfu kumi ambayo ndio RIBA ya mkopo kwa kila mteja.

Kila mteja atakaejiunga na kupatiwa mkopo ukifikia muda wa marejesho atatakiwa kutoa rejesho litakalo ambatana na kiasi cha Tshs. 10,000 (ELFU KUMI) elfu kumi hii itatambulika kama riba ya mkopo wake na itaingia katika mfuko wa wafanyakazi wa commercial loans.



UHALALI WA TAASISI YA COMMERCIAL LOANS
Validity of the Institute of Commercial Loans

Commercial loans ni taasisi halali iliyofuata taratibu za kisheria na kusajiliwa kikamilifu Brela Kama jina la biashara (Business name) na kutambuliwa na halmashauri ya manispaa husika kupitia Ofisi ya maendeleo ya jamii

Commercial loans imehalalishwa na Bodi kuu ya mikopo Tanzania na kupewa ruhusa ya kuendesha shughuli za utoaji mikopo pekee na imesajiliwa na TRA kupitia TIN NUMBER 118-365-476 Pia Commercial loans tumepata usajili wa TCRA kuweza kuendesha huduma zetu za mikopo kwa njia ya mtandao.


HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA IWAPO MTEJA ATAKOPESHWA NA KUSHINDWA KUREJESHA MKOPO
Legal action will be taken if the client will be loaned to the failure to repay the loan

Mteja anaweza kudhani hakuna umakini katika utoaji mikopo na kufikiria kua anaweza kujiunga akapatiwa mkopo na akakimbia kwa dhana kua hatuwezi kumpata.

Ukweli nikwamba mtandao huu una siri kubwa ya ulinzi katika kuhakikisha usalama wa fedha za kukopesha unapatikana.
SECURITY kubwa inayotumika ni Sensitive Webbased IP Mallware pamoja na IP Locator vitu ambavyo vinaweza kuhifadh data za mteja kwa kuswap network system hivyo mteja anapoingia katika hii tovuti system yetu inafanya backup ya network yake pamoja na mawasiliano yake yote ya computer au simu. Tuna trace location aliokuwepo pia tunafatilia taarifa zake kwa watu wake wa karibu anaofanya nao mawasiliano na kuweza kumpata.


UNAWEZA KUJARIBU KUANGALIA HAPA CHINI JINSI IP LOCATOR INAVYOWEZA KUKUONESHA ULIPO KUPITIA IP ADRESS.

Hello, visitor from: , Tanzania, United Republic of
tz.png
Your Country Code: TZ
Your IP State:
Your IP Address: 41.222.180.102
Your Hostname: 41.222.180.102
Your ISP: MIC Tanzania LTD
Your Organization: MIC Tanzania LTD


Iwapo mteja atashindwa Kurejesha mkopo atachukuliwa hatua za kisheria kwa kumshitaki katika vyombo vya usalama na kumfungulia mashtaka ya kuhujumu taasisi na adhabu yake atalipishwa faini isiyopungua million tatu au kutumikia kifungo miezi mitatu na kufirisiwa mali zozote anazomiliki

DHAMANA YA FEDHA KWA MKOPO WA KWANZA.
Cash collateral for the first loan

Kwa mteja ambae ni mara yake ya kwanza kukopa mkopo anatakiwa kulipia akiba kulingana na mkopo wake pia ni lazima kuweka dhamana yake ya mkopo ambayo itamuwezesha kulinda mkopo wetu sisi kwake yeye na siku yakumaliza marejesho atarudishiwa dhamana yake yote iwapo kama atakua hahitaji tena kuendelea nasisi. Dhamana ni Tshs. 310,000 (LAKI TATU NA ELFU KUMI) Ni lazima kuweka dhamana kwa kila mwanachama ambae atajiunga kwa mara ya kwanza ataweka akiba na dhamana yake.


VIWANGO VYA MIKOPO AKIBA ZA KUWEKA NA MAREJESHO.
Savings and lending rates set by the restoration

Vifuatavyo ni Viwango vya Akiba na mkopo.

Mkopo unatolewa kulingana na akiba ya Mwanachama atakayo weka katika akaunti yake, akiba ya mwanachama atakayoweka itazidishwa mara kumi na kupata kiwango cha mkopo atakacho kopeshwa. Viwango vya kuweka akiba vinaanzia Tshs. 100,000 (Laki moja)


(i)AKIBA YA SHILINGI LAKI MOJA (100,000x10=1,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 100,000 (LAKI MOJA) atakopeshwa Tshs. 1,000,000 (MILLION MOJA) na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 110,000 LAKI MOJA NA ELFU KUMI kwa muda wa miezi kumi.


(ii)AKIBA YA SHILINGI LAKI MBILI (200,000x10=2,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 200,000 (LAKI MBILI) atakopeshwa Tshs. 2,000,000 (MILLION MBILI) na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 110,000 LAKI MOJA NA ELFU KUMI kwa muda wa miezi ishirini.


(iii)AKIBA YA SHILINGI LAKI TATU (300,000x10=3,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 300,000 (LAKI TATU) atakopeshwa Tshs. 3,000,000 (MILLION TATU) na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 210,000 LAKI MBILI NA ELFU KUMI kwa muda wa miezi kumi natano.


(iv)AKIBA YA SHILINGI LAKI NNE (400,000x10=4,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 400,000 (LAKI NNE) atakopeshwa Tshs. 4,000,000 (MILLION NNE) na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 210,000 LAKI MBILI NA ELFU KUMI kwa muda wa miezi Ishirini.


(v)AKIBA YA SHILINGI LAKI TANO (500,000x10=5,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 500,000 (LAKI TANO) atakopeshwa Tshs. 5,000,000 (MILLION TANO) na atapatiwa zawadi ya chombo cha usafiri Piki Piki (BODA BODA) moja kwa ajili ya biashara itakayomsaidia kupata rejesho la mkopo na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 210,000 LAKI MOJA NA ELFU KUMI kwa muda wa miezi Ishirini natano.


(vi)AKIBA YA SHILINGI LAKI SITA (600,000x10=6,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 600,000 (LAKI SITA) atakopeshwa Tshs. 6,000,000 (MILLION SITA) na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 310,000 LAKI MOJA NA ELFU KUMI kwa muda wa miezi Ishirini natano.


(vii)AKIBA YA SHILINGI LAKI SABA (700,000x10=7,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 700,000 (LAKI SABA) atakopeshwa Tshs. 7,000,000 (MILLION SABA) na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 360,000 LAKI TATU NA ELFUSITINI, LAKI TATU NA ELFU HAMSINI rejesho la mkopo na ELFU KUMI ni riba jumla anatakiwa kulipa laki tatu na elfu sitini kwa muda wa miezi Ishirini.


(viii)AKIBA YA SHILINGI LAKI NANE (800,000x10=8,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 800,000 (LAKI NANE) atakopeshwa Tshs. 8,000,000 (MILLION NANE) na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 410,000 LAKI NNE NA ELFU KUMI kwa muda wa miezi Ishirini.


(ix)AKIBA YA SHILINGI LAKI TISA (900,000x10=9,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 900,000 (LAKI TANO) atakopeshwa Tshs. 9,000,000 (MILLION TISA) na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 460,000 LAKI NNE NA ELFU SITINI rejesho laki moja na elfu hamsini na elfu kumi ni riba kwa muda wa miezi Ishirini.


(x)AKIBA YA SHILINGI MILLION MOJA (1,000,000x10=10,000,000)

Mwanachama atakae jiunga na kuweka akiba ya Tshs. 1,000,000 (MILLION MOJA) atakopeshwa Tshs. 10,000,000 (MILLION KUMI) na atapatiwa zawadi ya chombo cha usafiri BAJAJI moja kwa ajili ya biashara itakayomsaidia kupata rejesho la mkopo na marejesho yake atatakiwa kurejesha kila mwezi kiasi cha Tshs. 510,000 LAKI TANO NA ELFU KUMI kwa muda wa miezi Ishirini.

ZAWADI ZA BODA BODA NA BAJAJI.
Gift of Boda Boda and Bajaji

Zawadi za Boda Boda na bajaji zitatolewa kwa wanachama watakao chukua mikopo mikubwa, mkopo wa million tano na million kumi pekee. mteja atakae jiunga na kuomba mkopo wa million tano kwa kuweka akiba ya laki ano atapatiwa zawadi ya boda boda moja bure na kwa mteja atakae kopa million kumi atapatiwa bajaji moja bure

Commercial loans tumefanikiwa kuuza hisa zipatazo million ishirini kutoka katika kampuni ya Kings inayohusika na utengenezaji vyombo vya usafiri Bajaji na piki piki hivyo tunatumia faida ya hisa hizi kwa kununua vyombo hivi vya usafiri na kutoa kama zawadi kwa wanachama wetu.

Lengo la kutoa zawadi hizi nikutaka kuwasaidia wateja wetu kupata chanzo cha marejesho kwa kutumia zawadi hizo kama sehemu ya biashara ili kupata marejesho ya mkopo.



ZILIPO OFISI ZA COMMERCIAL LOANS
When they OFFICE OF COMMERCIAL LOANS

COMMERCIAL LOANS inamakazi ya kudumu Dar es salaam pekee, tawi kuu linapatikana Posta, mtaa wa Samora mkabala na Ofisi ya VodaCom (VODA SHOP) Jengo namba 490



ONYO / EPUKA UTAPELI WA MTANDAONI
WARNING / Avoid Online Fraud

Commercial Loans tunapenda kuwatahadharisha wote mtakao tumia njia ya mtandaoni kujiunga hakikisha unapojiunga malipo yako ya akiba, ada na marejesho ya mkopo vitumwe kaika namba zilizopo kaika hii tovuti, hakikisha namba iliyopo hapa ndio unaitumia. hakikisha jina la usajili katika namba zetu linatokea COMMERCIAL LOANS au COMMERCIAL COMMERCIAL jina la Taasisi wakati wa kutuma pesa kama litatokea jina tofauti la mtu binafsi usitume hela.

Kwa tukio lolote lile la udanganyifu au ulaghai wowote toa taarifa katika vyombo vya usalama au fika katika ofisi zetu

Commercial Loans tunapenda kuwatahadharisha wote mtakao tumia njia ya mtandaoni kujiunga hakikisha unapojiunga malipo yako ya akiba, ada na marejesho ya mkopo vitumwe katika namba zilizopo kwenye hii tovuti, hakikisha namba iliyopo hapa ndio unaitumia. hakikisha jina la usajili katika namba zetu linatokea COMMERCIAL LOANS au COMMERCIAL COMMERCIAL jina la Taasisi wakati wa kutuma pesa kama litatokea jina tofauti la mtu binafsi usitume hela.

Kwa tukio lolote lile la udanganyifu au ulaghai wowote toa taarifa katika vyombo vya usalama au fika katika ofisi zetu



NAMBA ZA KUTUMA AKIBA NA MAREJESHO
Number of reserves and send feedback

Zifuatazo ni namba za kutuma akiba na kufanya marejesho. Akiba zote na marejesho ya mkopo yanalipiwa kwa M-PESA katika namba 0755 308 976 au kwa TIGOPESA katika namba 0658 904 041 hizi ndio namba za malipo ya akiba pamoja na marejesho. Hakikisha kabla ya kutuma pesa au baada ya kutuma pesa jina la mpesa au tigopesa linatokea Commercial Loans, usitume pesa iwapo jina litakuja tofauti.


JIUNGE HAPA
Sign up here

Kwa mahitaji ya mkopo tafadhali bonyeza Link ifuatayo hapa chini Imeandikwa "FOMU YA MKOPO" kuna fomu utaikuta tafadhali ijaze fomu yote kisha itume kwetu na utalipia akiba ya mkopo pamoja na ada ya uanachama, ndani ya dakika 55 utaupokea mkopo wako.


©2014 Commercial Loans Tanzania
ga.gif
ga3.gif
 
Hawa watu wako wapi??

"And the best that you can hope for
Is to die in your sleep."(Others ar usless)
 
Back
Top Bottom