FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Mwanzisha mada anaweza kuwa hajaridhika kwa sababu malengo yake, kama alivyoyaelezea kwenye bandiko lake, hayajatimia kupitia shindanio hili. Lakini pia inabidi tuangalie walioanzisha shindano hilo walikuwa na malengo gani. Labda hawakulenga kudumisha muziki au ngoma za asili
wanaosema hiki kipindi ni copy and paste
angalau nawaelewa na nakubaliana nao.........
tatizo la vipindi hivi vya copy and paste ni kuwa ni ngumu kuweka
mambo yako mengine bila kuharibu format........
kwa yeyote aliewahi kutazama" dance with stars"
wala hawezi kutokielewa kipindi cha selebuka........
ni kama american idol na bongo star search.........
Unajua saa nyingine unaweza kuangalia kitu na usipate kufahamu chochote na mwingine akaangalia akapata chochote mathan akaburudika na ndiyo alokuwa akiitafuta. sasa kama hujui unatafuta nini katika kipindi fulani muda fulani unaweza ukaboreka kabisa...you may be right in the wrong place and time.... and you may be wrong in the right place and time... and you may be right in the right place at the right time. Nadhani kipindi ni kwa ajili ya burudani na hata jina linajitosheleza..serebuka... sasa kama utakwenda kuangalia wakati huhitaji kufurahi hutaweza kufurahi...you need to set your minds first... Nadhani kipindi ni kizuri na inaleta changamoto mbalimbali za ubunifu katika kucheza, mavazi nakadhalika... Kama wewe ni mtu wa discovery kila wakati wala huko kwenye serebuka usiende maana utalaani muda wako utakaotumia kuangalia hicho kipindi.....mwanzilishi ameona mbali sana sana halina mantiki yoyote .....mnie nilipoona mara ya kwanza nikabakia kushangaa shangaa
vitu vingine ni kupoteza muda kuviangalia.....watu sio wabunifu nimeona vipindi kama hivyo vinaonyeshwa SABC 1,SABC 3,na Huko kwenye Pop Idols Uloyo wanajaribu kucheza style tofauti kama Salsa ,Charanga na nyinginezo na zinakuwa well trained ...
hii serebuka yetu sijui imetoka wapi na haina ubunifu hata kidogo
Aaaghhhh... Aliyetuloga keshajifia...
Unajua saa nyingine unaweza kuangalia kitu na usipate kufahamu chochote na mwingine akaangalia akapata chochote mathan akaburudika na ndiyo alokuwa akiitafuta. sasa kama hujui unatafuta nini katika kipindi fulani muda fulani unaweza ukaboreka kabisa...you may be right in the wrong place and time.... and you may be wrong in the right place and time... and you may be right in the right place at the right time. Nadhani kipindi ni kwa ajili ya burudani na hata jina linajitosheleza..serebuka... sasa kama utakwenda kuangalia wakati huhitaji kufurahi hutaweza kufurahi...you need to set your minds first... Nadhani kipindi ni kizuri na inaleta changamoto mbalimbali za ubunifu katika kucheza, mavazi nakadhalika... Kama wewe ni mtu wa discovery kila wakati wala huko kwenye serebuka usiende maana utalaani muda wako utakaotumia kuangalia hicho kipindi.....
hii sredi inazihilisha kwamba watanzania wengi wanamiliki TV sasa. (hongera mheshimiwa kikwete)
Kama vile wengi tunavyomiliki magari na kukaa barabarani asubuhi masaa mawili na jioni masaa mawili. Klorokwini hayo ndo maendeleo kweli. Tuna Tv hatuna umeme , tuna Tv hatuna vipindi vya kwetu 90% ideas za nje. Jamani TBC sio ya kuburudisha tuu ni pamoja na kuelimisha na kutangaza utamaduni na utaifa wetu. Ona wenzetu wanavyotangaza nchi zao ndo maana BBC, VOA, DEUTCHWELLE, CFI huwezi ona wanatukuza nchi nyingine.Kama TBC wana hela waweke TBC2, 3, 4, mpaka 10 halafu waweke muziki 24/7 hakuna atakayelalamika.
kama sasa tunakoelekea kwenye uchaguzi mkuu walitakiwa waandae vipindi vinavyoelimisha madhara ya kuchagua viongozi waongo,wapenda rushwa ,walitakiwa watoe vipindi vinavyoelezea faida za kupiga kura.mambo ya ujasiriamali ,Kilimo kwanza na mangineyo sio kutuwekea sisi serebuka tunaserebuka na nini...
wacheza serebuka wenyewe huwa tunawaona kwenye movie .kina kabula,Kojack ,wengine sijui kina Mmela Ijumaa handsome boy ..
You couldnt have said better, FLNjaa, malaria, utapiamlo, umemployement halafu unaserebushwa ta TV ya taifa tumelogwa au ni laana. Isije ikawa ni makusudi ili tusahau matatizo yetu
nadhani A+ B yote ni sawa..
Akili zetu zimesinzia fofofofofof .siku zikiamka ndo kiama
Dance with stars hapo ina kuwa kuna mmoja mjuzi na mwingine hajui ila star kwenye fani yake like soccer etc.wanaosema hiki kipindi ni copy and paste
angalau nawaelewa na nakubaliana nao.........
tatizo la vipindi hivi vya copy and paste ni kuwa ni ngumu kuweka
mambo yako mengine bila kuharibu format........
kwa yeyote aliewahi kutazama" dance with stars"
wala hawezi kutokielewa kipindi cha selebuka........
ni kama american idol na bongo star search.........