shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

Hahahahaaaa
Ina maana unawataka wote?

hapo umesema wewe!
ila narudia tena majibu ya mimi nina nini utayapata kwa Chocs, mwezi unaokuja..baada ya kuviunganisha vikojoleo vyetu...
Report kamili utaipata na utaamua kunyoa au kusuka..nakukumbusha! Nilikuambia utaacha mwenyewe..
 
Last edited by a moderator:
Afu nakuja next month..
Tutaunganisha vikojoleo vyetu kwa dakika kadhaa..
Naku alert tuu..
yule jamaa yako kasema yuko durban na mke wa mtu...
Ha ha ha ha ha ha...hujambo? Erickb52 akikusikiaaa......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom