shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

hapo umesema wewe!
ila narudia tena majibu ya mimi nina nini utayapata kwa Chocs, mwezi unaokuja..baada ya kuviunganisha vikojoleo vyetu...
Report kamili utaipata na utaamua kunyoa au kusuka..nakukumbusha! Nilikuambia utaacha mwenyewe..

We jifanye mjanja mkanatiane km ma dogs
Hahahaaaa tutawafanyia operation ya hatari
 
Last edited by a moderator:
hapo umesema wewe!
ila narudia tena majibu ya mimi nina nini utayapata kwa Chocs, mwezi unaokuja..baada ya kuviunganisha vikojoleo vyetu...
Report kamili utaipata na utaamua kunyoa au kusuka..nakukumbusha! Nilikuambia utaacha mwenyewe..
Ushakula samaki nchanga wa kutoshaa....hahahahaha, acha hizo bana...!
 
Ha ha ha ha ha ha...hujambo? Erickb52 akikusikiaaa......

Bby achana na haka kajamaa.
Halafu sitaki kuona una mazoea nako.
Please ntakuacha maana mi sipendi kupewa pressure.
Mwambie asikuzoee
 
Last edited by a moderator:
Ushakula samaki nchanga wa kutoshaa....hahahahaha, acha hizo bana...!

Niko fit...we mwenyewe utaona! ila sikushauri umwache erick..huyu atakuacha mwenyewe kwa sababu ndivyo alivyo..Mr. acha acha..
 
Back
Top Bottom