Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,688
umeenda mbali dear.....tupambe kwanza kwa kumpata mratibu Kisha ndo tusherehekee
sahv inatakiwa uwe unalea kachanga.... haya toka upesi.
umeenda mbali dear.....tupambe kwanza kwa kumpata mratibu Kisha ndo tusherehekee
sahv inatakiwa uwe unalea kachanga.... haya toka upesi.
sahv inatakiwa uwe unalea kachanga.... haya toka upesi.
Sijaliona hilo jibu bana.
Mamndenyi ni +911
na ya gfsonwin +922.
Ila Mamndenyi kaa ukijua napeleka taarifa hizi kwa mume wetu MziziMkavu.
Kuwa Bishanga anakutongoza.
Huna macho...!
Unataka tuchafue hali ya hewa?
eti eh?
tuliza ball,najua unatamani nikuwashe lakini sio kihivyo,thanks for the phone numbers nitawapigia courtesy Madame B
Chafua bana. Hakuna mutoto humu.
Haya haya kumekucha wana cc tupige kura kuchagua kapo inayoongoza kwa ucheshi,uaminifu,upendo,kuvumiliana,kuwa intact muda mrefu,ili mradi iwe ni kapo ya mfano cc.Kwa kuwa mimi sio mtaalam wa kuratibu mambo haya naomba mwenzetu mmoja ajitolee ku organize hili shindano,mimi nitatoa zawadi ya mshindi ambayo itakuwa one night full board Hilton Double Tree Masaki.
Nawasilisha,
Bishanga Abashaija,
Bilionea la kihaya.
Kopi: AshaDii
saws Husninyo nimekusikia mrs The Finest mtarajiwa.
mbona hukusema tena upo mpwapwa mitaa gani? ulitoweka gafla