Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
Nikupendeje mke wangu?
upendo wa pai hesabu zifanywe na nini lol22/7 * 0.4400
khaaaaaaaa.... Bishanga ukisikia umbea ndo huu!!! haya lini umenisikia nimelalamika kama ulivosema?!?!?
saluni yenyewe hata siendi maana mie nna kipilipili...!!!
shost we ndio unammiliki huo mcharuko Bishanga
The secretary mimi simo........!!