shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

hahahhahahaaaaaaa............mje mfunguliane sredi tuburudike!!!!:A S shade:
NANITAMPIGA PICHA MPAKA NANILIU YAKE NAIWEKA HAPA HUYO Bishanga NA WALETI YAKE NTAKAVOIKUNG'UTA HIVI
images
NTAMKOMOAJEEEEEEEEEEEEEE Paloma Na thread juu kule mmu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha.. Bishanga inasemekana umemlipa pesa nyingi The secretary ili akutunzie siri.. Sasa kwa taarifa yako kuna watu kadhaa Arushaone na Erickb52 wakiwa miongoni mwao wamepanga kumuiba mtoto na kwenda kumpima vipimo vya kinasaba (DNA) kama kweli ni damu yako.. Hii ni kashfa kubwa iko pending..

hao wagane uliowataja wana psycho-social problem ya from 0-6 katika age hiyo hawakufuata hatua zote ndo mana unaona wanavyohaha na wake za watu wanaambulia vibuti tu. copy: Bishanga, Erickb52, Arushaone halafu sosoliso kumbe na wewe ni wale wa hausimami hausimiki?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mai waifu wa Bishanga naye anacement anayosema mai ozbend wake!!!
huyo mtoto wenu bora mumpe Baba V awalelee maana atarithi udaku kutoka kwa wazazi!!!

Ah wapi katoto kanaitwa V mbona tayari ni kashankunku mtaa mzima mbagala charambe hakafai?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom