Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Last edited by a moderator:
teh teh teh teh!Duh!! 16 damn pages?! I hope hii ni matokeo ya wapiga kura na kuwa sasa naweza ambiwa washindi wa mchakato huu ni nani! Sipo siku nyingi hadi nasikia zumbemkuu anatoka na Mrembo by Nature kama kapo ya Jf... Ni ya kweli haya? :A S 39:
CC: Bishanga
mental ana pua ndefu kama kilele cha kibo.
halafu ana nywele ni ngumu balaa, akienda kwa kinyozi lazima itafutwe hacksaw.Na wewe kwa kuharibu mapenzi ya watu, nimempendea hiyo hiyo pua yake
halafu ana nywele ni ngumu balaa, akienda kwa kinyozi lazima itafutwe hacksaw.
mie nakuambia tu, ukimuacha ndo itakuwa poa zaid, teh teh tehYote hayo unayasema ili iweje?nimuache au?
lilelijamaa lako juzi lilikuja kunikopa hela, teh teh teh tehha haaa, hujakoma tu kutunguliwa?
shauri yako......
ila ulipotelea wapi? nilimiss mbwembwe zako kidogo tu
usimdhalilishe aiseee......lilelijamaa lako juzi lilikuja kunikopa hela, teh teh teh teh
mie nakuambia tu, ukimuacha ndo itakuwa poa zaid, teh teh teh
halafu kwao wanashida balaaa.....