Shindano la Mwimbaji, bora wa ChitChat

Shindano la Mwimbaji, bora wa ChitChat

Habari marafiki zangu;

Nimeona nitoe list ya watakayoshiriki kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta Mtunzi bora,
Mwimbaji bora na Wimbo bora unaosifia ChitChat zaidi hakuna mfano, hivyo jitokekezeni
kwa wingi kwenye ukurasa huu ili tumpate mshindi ambaye ataondoka na zawadi nono
sio utani its true wapendwa, Shindano hilo litafanyika tarehe 06/07/2013 Jmosi saa 11:30jioni
katika Ukumbi wa LEO TUPO HAPA PUB - Mwanyamala. Kama wewe uko mkoa wa Dsm.
jiunge sasa kwa KuniPM ili upate usajiri wako mapema kabla nafasi hazijajaaa.

Majaji wetu wataangalia jinsi mwimbaji atakavyojituma jukwaani hasa kulikamata jukwaa(perfomance)
mwonekano wake (personale appearance), wimbo wake ulivyotungwa ktka mfumo na mahadhi ya kibantu,
(Bantu style), na jinsi anavyoweza kuwavuta mashabiki akiwa jukwaani. Wapo walimu ambao watakuwa
makini kufuatilia wimbo ambao mtautoa hapa jukwaani hivyo kila anayetaka kushiriki aanze kuandika
mashairi, wimbo wake hapa ili walimu waanze kazi yao kwa kuutafuta wimbo bora hapa cc mapema.

Kutakuwa na mgeni rasmi ambaye ni founder wa CC Invisible Robot atakuwa na mpambe wake
siku hiyo ambaye ni @Moderate wao watagawa zawadi kwa mshindi wa wimbo bora, mtunzi na
mwimbaji bora wa cc. hivyo usikose nafasi hii muhimu kwako na jf cc kwa ujumla.
Kama unatokea
dar nipm na kama ni mkoani zamu yao ipo kwani tutasafiri hadi mkoa kwa mkoa tutaanza na mikoa
michache kwanza

WAFUATAO NDIO WATAKAOSHIRIKI KINYANG'ANYIRO HICHO: watu8, Bujibuji, Kipaji Halisi, Mwita Maranya, cacico, cacico, gfsonwin, Mamndenyi, Madame B, figganigga, mathematics, manoah, Smile, Heaven on earth, Lady Unbreakable, amu, Catherine Denzi, steven Masatu, Bakulutu, Filipo, Erickb52, @Rular Swagga, Lady, Mr. Rock, The Boss, Asprin, heaven on desert, charminglady, sweetlady na wengine ambao
nimekosa majina yao naomba waniPM ili tuweze kufanya tathmini yao na wao waanze kuandika mashairi
na nyimbo zao hapa ili zianze kufanyiwa kazi na majaji wetu.

Kazi kwenu

ciao

next time mkumbuke kuniweka si unajua natamba na style yangu ya tukunyema
 
wala next time hata sasa kama unapenda sema nikuweke kwenye list ya kumsaka mwimbaji bora wa cc hapa na anza kutoa wimbo wako au andika hapa wimbo wkao majaji wafanye kazi ya kukokotoa hapa ujachelewa kwani kielele ni tarehe 6 utakuwepo pale leo tupo hapa pub dar es salaam ?
next time mkumbuke kuniweka si unajua natamba na style yangu ya tukunyema
 
tutapanga na tutakuja asante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi ila funcity itabidi tulipe viingilio siunajua tena nitafanyia kazi ushauri wako ondoa shaka ila kumbuka kuwa wewe utakuwa mlinzi wa kura za watakaowania tuzo hivyo jiandae kuwepo pls pls pls plsssss uwepo siku hiyo unategemewa sana bestito usiniangushe
ladyfurahia badilisheni kiwanja. Kila siku kwa mjeda tuuu utafikiri mmelishwa limbwata huko!? Next time twendeni funcity Kigambonino!
 
tutapanga na tutakuja asante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi ila funcity itabidi tulipe viingilio siunajua tena nitafanyia kazi ushauri wako ondoa shaka ila kumbuka kuwa wewe utakuwa mlinzi wa kura za watakaowania tuzo hivyo jiandae kuwepo pls pls pls plsssss uwepo siku hiyo unategemewa sana bestito usiniangushe

Kwenye kulinda vitasa tafuta mmasai mmoja toka pande za chuga manake hao ndo bado wana hasira na mzuka. Ukimkorofisha kidogo tu anakulipua na bomu!@arushaone Filipo LiverpoolFC Mzee wa Rula Mungi PakaJimmy

Afu usiogope saaaaana funcity hata kama kuna kiingilio mara moja kwa mwaka si mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Hah hah haha haha !!!! Kitu cha moto tu sikuhizi!!!
 
oky tutalipanga hilo ondoa shaka kwani nami nimevutiwa na maeneo yale ila sasa tukitangaza mchango msikimbie kwani itabidi tuchangie halafu tumwombe kiongozi Baba V aende kufanya booking mapema hiyo nadhani tutafanya december kwenye ile kitu darwing ngoja nimshirikishe MDAU Mtambuzi naye atoe maoni yake

kamati imekuchagua wewe uwepo pale kwenye ulinzi sasa kwninini unakataa jamani vibaya hivyo
Kwenye kulinda vitasa tafuta mmasai mmoja toka pande za chuga manake hao ndo bado wana hasira na mzuka. Ukimkorofisha kidogo tu anakulipua na bomu!@arushaone Filipo LiverpoolFC Mzee wa Rula Mungi PakaJimmy

Afu usiogope saaaaana funcity hata kama kuna kiingilio mara moja kwa mwaka si mbaya!
 
Last edited by a moderator:
kama unaunga mkoni basi usikatae tukikuweka tena kwenye list ya waimbaji mwakani kwani tutafanya palepale funcity kwa maombi yenu wadau oky ili suala tutalifanyia kazi na kupendekeza hapo mahali asante kwa hoja zenu zinafanyiwa kazi
anatumia "fursa"..naunga mkono hoja yako
 
oky tutalipanga hilo ondoa shaka kwani nami nimevutiwa na maeneo yale ila sasa tukitangaza mchango msikimbie kwani itabidi tuchangie halafu tumwombe kiongozi Baba V aende kufanya booking mapema hiyo nadhani tutafanya december kwenye ile kitu darwing ngoja nimshirikishe MDAU Mtambuzi naye atoe maoni yake

kamati imekuchagua wewe uwepo pale kwenye ulinzi sasa kwninini unakataa jamani vibaya hivyo

Nimekusoma sana ladyfurahia. Tuko pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom