ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habari marafiki zangu;
Nimeona nitoe list ya watakayoshiriki kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta Mtunzi bora,
Mwimbaji bora na Wimbo bora unaosifia ChitChat zaidi hakuna mfano, hivyo jitokekezeni
kwa wingi kwenye ukurasa huu ili tumpate mshindi ambaye ataondoka na zawadi nono
sio utani its true wapendwa, Shindano hilo litafanyika tarehe 06/07/2013 Jmosi saa 11:30jioni
katika Ukumbi wa LEO TUPO HAPA PUB - Mwanyamala. Kama wewe uko mkoa wa Dsm.
jiunge sasa kwa KuniPM ili upate usajiri wako mapema kabla nafasi hazijajaaa.
Majaji wetu wataangalia jinsi mwimbaji atakavyojituma jukwaani hasa kulikamata jukwaa(perfomance)
mwonekano wake (personale appearance), wimbo wake ulivyotungwa ktka mfumo na mahadhi ya kibantu,
(Bantu style), na jinsi anavyoweza kuwavuta mashabiki akiwa jukwaani. Wapo walimu ambao watakuwa
makini kufuatilia wimbo ambao mtautoa hapa jukwaani hivyo kila anayetaka kushiriki aanze kuandika
mashairi, wimbo wake hapa ili walimu waanze kazi yao kwa kuutafuta wimbo bora hapa cc mapema.
Kutakuwa na mgeni rasmi ambaye ni founder wa CC Invisible Robot atakuwa na mpambe wake
siku hiyo ambaye ni @Moderate wao watagawa zawadi kwa mshindi wa wimbo bora, mtunzi na
mwimbaji bora wa cc. hivyo usikose nafasi hii muhimu kwako na jf cc kwa ujumla. Kama unatokea
dar nipm na kama ni mkoani zamu yao ipo kwani tutasafiri hadi mkoa kwa mkoa tutaanza na mikoa
michache kwanza
WAFUATAO NDIO WATAKAOSHIRIKI KINYANG'ANYIRO HICHO: watu8, Bujibuji, Kipaji Halisi, Mwita Maranya, cacico, cacico, gfsonwin, Mamndenyi, Madame B, figganigga, mathematics, manoah, Smile, Heaven on earth, Lady Unbreakable, amu, Catherine Denzi, steven Masatu, Bakulutu, Filipo, Erickb52, @Rular Swagga, Lady, Mr. Rock, The Boss, Asprin, heaven on desert, charminglady, sweetlady na wengine ambao
nimekosa majina yao naomba waniPM ili tuweze kufanya tathmini yao na wao waanze kuandika mashairi
na nyimbo zao hapa ili zianze kufanyiwa kazi na majaji wetu.
Kazi kwenu
ciao

Last edited by a moderator: