shinda LCD TV BURE! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shinda LCD TV BURE!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BABA JUICE, Sep 5, 2011.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa wateja wa vodacom ukitumiwa meseji hii ya promosheni usifanye chochote kwa kujibu maswali ukifikiri ni bure ukiweka pesa yako wanakata...hizi promosheni ni wizi mtupu usione neno bure ukaona bure kweli
   
 2. T

  Terimu Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama wewe hutaki kushiriki waache wenzio washiriki!
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hakuna ki2 cha bure...............huh
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  KWANZA hii bendera umeweka ya yale mambwa ya NATO yanayojiita NTC..Haitakiwi hapa Tz itoe kabisa..we dont support traitors here who kills our fellow Africans in Libya...
   
Loading...