Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Last edited by a moderator:
mmh, ngoja waje wenye ungo wapepee.
Ngoja watikise walivyopewa na mama zao lol
Shilole kama hana mfupa nyongo bana...daaaah.
Ukiwa hodari wa kuzungusha nyonga kiasi kile hutahitaji kwenda/kuangalia kile kipindi cha the biggest loser.
Na hawa wazungusha nyonga wa AT.....daaaah. Nahitaji kupepewa jamani
Njoo nikupepee. . .
Unataka kwa upande wa kanga au kitenge?
Tatizo lake moja 6*6 mchovu sana
Tatizo lake moja 6*6 mchovu sana
Ngoja kwanza nikanunue acid suit
Konnie kaniazima yake mpaka unipatie yangu.
Enhe. . .nianzie wapi?
Njoo nikupepee. . .
Unataka kwa upande wa kanga au kitenge?
Kwa upande wangu, mbona nimeona yuko fiti sana.Tatizo lake moja 6*6 mchovu sana
Anzia mgongoni...
Hivi mvua imeisha?
mwali wewe upo?haya bwana naona mie na wewe huwa tunakutanishwa na viungo tu lol...!