Shilole

Na hawa wazungusha nyonga wa AT.....daaaah. Nahitaji kupepewa jamani

 
Last edited by a moderator:
mmh, ngoja waje wenye ungo wapepee.

Ngoja watikise walivyopewa na mama zao lol
 
Ukiwa hodari wa kuzungusha nyonga kiasi kile hutahitaji kwenda/kuangalia kile kipindi cha the biggest loser.
 
pepeaneni tu na upande wa kanga, nikisikia acid nakimbilia kikoti changu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom