Shilole: Kuanzia sasa sitaki wanaume Suruali

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
SHILOLE77.jpg

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa bidii.

Akilonga na Ri-Vibes, Shilole alisema kuwa kwa sasa ameamua kukaa singo kwa sababu ameona hakuna faida ya kuwa na mwanaume asiye na kitu.

Kuhusu Nedy Music anayedaiwa kuwa naye mara tu baada ya kumwagana na Nuh Mziwanda, Shishi Baby alisema hana uhusiano naye wa kimapenzi, isipokuwa ni rafiki wa kawaida tu!
 
Kwa uzuri gani ulionao, mi nina hela zangu siwezi kuchukua demu kama wewe kibibi!!jina kitu gani wewe utazimika muda si mrefu wengi walikuwepo lakini sasa wako wapi acha ushamba wa kwenu huko igunga, mikorogo imekuchanganya sura mpaka akili
 
Simu yake yenyewe imepasuka kioo, mxxxiewwww
Mkuu unachungulia sana... ubaya wa Mambo ya Technologia picha zinaonesha hadi mchanga mmoja... Zamani enzi za black and white huwezi jua kitu hapo
 
Kwa usawa huu wa Magufuli na huo uzee alio nao nani akapoteze pesa zake...
 
Pesa imekua ngumu duh alikua analea sa hv mambo mazito anataka kulelewa ila keshachelewa sa hv kwa wote pesa ngumu tu sa hv awaze kulea wanae tu kwa anachopata
 
Anakumbuka shuka kumekucha!!!?c alijidai. Bingwa wa kuhonga hahahH kachelewa usawa huu wa bro magu atajibeba!!!!!
 
SHILOLE77.jpg

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa bidii.

Akilonga na Ri-Vibes, Shilole alisema kuwa kwa sasa ameamua kukaa singo kwa sababu ameona hakuna faida ya kuwa na mwanaume asiye na kitu.

Kuhusu Nedy Music anayedaiwa kuwa naye mara tu baada ya kumwagana na Nuh Mziwanda, Shishi Baby alisema hana uhusiano naye wa kimapenzi, isipokuwa ni rafiki wa kawaida tu!
FOR SALE Kha!!. Lakini hivi huyu si ana kabinti kana pevuka sijui ndio anampa darasa gani hapa mwanae masikini,sawa mama wame kusikia loh!
 
Kwa uzuri gani ulionao, mi nina hela zangu siwezi kuchukua demu kama wewe kibibi!!jina kitu gani wewe utazimika muda si mrefu wengi walikuwepo lakini sasa wako wapi acha ushamba wa kwenu huko igunga, mikorogo imekuchanganya sura mpaka akili
Afanyeje dada wa watu kajaribu kujishughulisha kukata viuno wee wapi, na ndio kiuno chenyewe kimekaza show hazilipi.
 
Stress frustrations n loneliness speaks it all...anajaribu kujifariji na kujipa ukakamavu wa kufikirika...! Everyone needs LOVE ni jambo la kiasili sana na halizuiliki kwa maneno mepesi kama hayo
 
Hayo majivuno yako ya mwisho Shilole tena mwisho wenyewe hauko mbali. Madhali kazi inayofanya na matendo yako ni ya kumchukiza mungu basi utakwenda kuporomoka na utawapigia magoti wanaume unaowananga.
 
Wenye nazo wapo kwenye radar. Ila zaidi ataishia kukuliwa na kuachwa kama wengine walivyofanya.
 
Back
Top Bottom