Shilole amchana Alikiba

Na king kusema yeye hakumualika maybe ni team yake ndio ilimualika kuna tatizo? Si ni kweli hakumualika!

Hajarushiana nae maneno, aliulizwa swali akajibu.
Ile team ni kimvuli cha Kiba, kwahiyo Jambo lolote wanalofanya wanafanya kwa niaba ya Kiba. Kwahiyo kusema hakumualika ni sawa na kusema nimemkuta hayupo.
 
ile team ni kimvuli cha kiba, kwahiyo Jambo lolote wanalofanya wanafanya kwa niaba ya kiba. Kwahiyo kusema hakumualika ni sawa na kusema nimemkuta hayupo.
Hivi mlielewa msingi wa swali kweli? Au mmeamua tu kujitoa ufahamu!
 
Hivi mlielewa msingi wa swali kweli? Au mmeamua tu kujitoa ufahamu!
Hakuna cha msingi wa swali wala paa la swali. Mtu umempost hadi kwenye page zako Instagram na maneno kedekede ghafla unasema sikumualika is it makes sense mkuu.
 
Naona muda mrefu unatafuta bwana kinguvu humu JF.

Wakati upo kijiji hata hujawahi kumiliki smartphone wala hujui JF ni nini huyo pimbi wako sisi tumempa sapoti ya nguvu.

Sapoti ipi sasa na anakutambua?
 
Back
Top Bottom